Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Ndugu yangu ana tatizo la watoto kufia tumboni kabla ya kuzaliwa...mimba ikifika miezi tisa unakuta mtoto ameshafariki.. je tatizo hilo afanyeje?? Je anaweza kuzalishwa mapema kabla ya mimba haijafika miezi tisa?? .. Imeshatokea mara mbili... Pia akiwa mjamzito anakosa hamu ya kula..huwa anakula kidogo sana kwa muda wote wa ujauzito..
 
Ndiyo, ni juzi tu tarehe 2/7 nikapewa artequine. Leo namalizia dozi. DALILI: Mwili kuchoka, miguu (kwenye nyayo) na kifua kuwaka moto.
Hakuna kichwa kuuma, wala baridi wala joto kupanda. Magonjwa mengine kama typhoid huwa natibiwa kama kawaida na kupona hata miaka. UTI, naitibu kwa kunywa maji mengi
Kutokana na miguu na kifua kuwaka moto, nimewahi kufanyiwa kipimo cha endoscopy Bugando nikakutwa na GERD (kuna sehemu umeeleza kama aina mojawapo ya vidonda vya tumbo), nikatibiwa na kwa kiasi kikubwa nimpata nafuu. Miguu na kifua inawaka moto pale tu ninapokuwa na malaria
Karibu
Pima na Tuberculosis
 
Tatizo la mwili kuwasha, nikiwa kwenye jua au mfano ukikimbia mwili ukichemka basi inatokea vipele vina maji baada ya muda vinaisha.
 
Kama unapoamka asubuhi masikio yanakuwa yametulia, basi unapata exposure kwenye kelele zaidi ya kiwango kinachoruhusiwa kwa siku (dBA 85)

Kama ni hivyo unahitaji kulinda masikio yako. Kuna maduka wanauza kinga za masikio kwa bei rahisi tu, japo ni haki yako kulindwa na mwajiri wako.
Ni wiki sasa,naskia kelele kwenye sikio la upande wa kulia tatizo linazidi sana muda wa usiku..lakini haliumi.
 
Kama unapoamka asubuhi masikio yanakuwa yametulia, basi unapata exposure kwenye kelele zaidi ya kiwango kinachoruhusiwa kwa siku (dBA 85)

Kama ni hivyo unahitaji kulinda masikio yako. Kuna maduka wanauza kinga za masikio kwa bei rahisi tu, japo ni haki yako kulindwa na mwajiri wako.
Kuna kipindi nikiwa mdogo nilikuwa na matatizo ya maskio tena yalikuwa yanauma sana,mara ya mwisho ilikuwa 2003 baada ya kuanza kuona hali ya kuwa kama kuna kitu kinatembea maskion mwangu nmeanza kuhisi kama tatzo linataka kurudi tena.Asante.
 
Ungeweza kwenda kwa ent kwa uchunguzi zaidi.
Pole Sana
Kuna kipindi nikiwa mdogo nilikuwa na matatizo ya maskio tena yalikuwa yanauma sana,mara ya mwisho ilikuwa 2003 baada ya kuanza kuona hali ya kuwa kama kuna kitu kinatembea maskion mwangu nmeanza kuhisi kama tatzo linataka kurudi tena.Asante.
 
Nina maumivu ya Mgongo kwa karibu miaka 4 sasa, Nimekunywa mno dawa za maumivu na sipati nafuu. Katikati ya mgongo huwa panauma sana na kuchemka, mabega hukakamaa na mwili huwa dhaifu.

Tatizo hili lipo sana pale ninapokaa kwa muda mrefu. Nikitembea maumivu huwa huwa sisikii na pia naweza hata kufanya mazoezi mazito kama kucheza basket ball, shida ninapo kaa ndio huwa maumivu makali.

Kuna dawa gani nitumie nipone????
 
dr tiba ya tatizo la kubabuka uso inakua mkavu alaf ina mabaka meusi sehem ya mdomo kwa cku naeza paka mafuta hata mara 6 nkiamka asubuh baada ya kunawa uso unababuka mno yan msaada plz
 
Back
Top Bottom