Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Naomba kuuliza Dr Fazel, hizi dawa unazoshauri hapa ambazo naziona kama ni prescriptional, watazipataje bila prescription? Au unaweza kumwambia doctor akuandikie dawa flani?
 
Tatizo la mwili kuwasha, nikiwa kwenye jua au mfano ukikimbia mwili ukichemka basi inatokea vipele vina maji baada ya muda vinaisha.

Mkuu unaweza kuwa unayo tatizo la "Polymorphic Light Eruption." Tatizo hili linaleta vipele mtu akiwa kwenye jua kwa muda mrefu alafu kama ulivyosema ukitoka juani inapungua. La kwanza vaa shati yenye mkono refu na ukitoka nje kwenye jua pakaa sunscreen lotion nzuri.

Hizi vipele zikianza unaweza kutumia Hydrocortisone Cream - Itapunguza na kuondoa vipele na mwasho wa mwili. Hivyo basi, utakapo fanya nilichosema nipe taarifa unavyoendelea.

Asante.
 
Mimi nikipigwa na baridi au upepo tumbo lang huwa lina jaa gesi sana na kila ktu kina vurugika tumboni yani naharisha, pia hata nikipatwa na wasiwasi sana huwa linajaa gesi. Ni nini tiba ya tatizo hili

Naona itakuwa unayo Acidity. Je unaona kama kifua inaunguwa au kuwaka moto?
 
Back
Top Bottom