Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Doc NA mtoto anavidonda kwenyeulimi mwishoni vimeanza majuzi anakohoaa mwanzomwisho bumper dawagani kaka nimempima uti anaykidogo... Malaria kidogo...msaadaPls

Barikiwasana
 
Mkuu nilikuwa hospital (Fortis) wiki mbili zilizopita mana niko Delhi kimasomo nikapima nikaonekana nina acid dokta akaniandikia Nexium nimemaliza lakin bado najisikia kama awali no improvements. Dawa gani nzuri niwaondoe hawa acid mkuu.

Labda unayo bakteria ya H.Pylori. Kafanye vipimo vya H.Pylori na kama hawa bakteria wapo, Tumia Dawa za Heligo Kit.
 
Utakuta mtu unapiga mswak asubuh na jion baada ya kula ila mwisho wa sk meno yanaoza ni kwasabab gan?

Itakuwa hajapiga mswaki vizuri. Lakini pia inashauriwa sana kutumia dawa za kusukutuwa. Yaani, Mouthwash. Medi-Oral au Lysterine zote nzuri.
 
Naomba kujua kuwa, je Kuna tiba halisi ya vidonda vya tumbo?
Na nini hasa tiba ya ugonjwa huu?

Ndiyo.

Kama vidonda vimetokana na Bakteria wa H.Pylori - Dawa yake ni Heligo Kit.

Kama vidonda vimetokana na Asidi kuzidi - Dawa yake ni Rabeprazole.
 
Dk

Nakwamtoto wamiaka sits dose inakuwaje

Kwa mtoto tumia dawa hii:

Fexofenadine 60mg - Ni kidonge yakuyayusha ndani ya maji na inakuwa juisi ya ladha ya strawberry.

Akunywe Moja kila siku kwa muda wa wiki mbili.
 
Mwambie atumie dawa hii:

Omeflex - Kidonge kimoja asubuhi na kimoja usiku kila siku kwa muda wa miezi moja.
Jana tumemwona daktari akasema hii inatokana na kufanya mapenzi mfululizo wakati huo akiwa anafanya mazoezi kila siku, je hiyo dawa itasaidia maana japo anafanya mazoezi ya mpira ila huwa analalamika magoti kuuma
 
Hbari Dokta miminina tatizo la kuumwa mgongo mara kwa mara kazi nifanyayo ni kutengeneza website za wateja je ni kitu gani au tiba gani naweza kufanya ili kuondoa tatizo hili? ASANTE

Mkuu ushauri wangu ni yafuatayo:

1. Maumivu yakiwa makali sana, tumia kidonge kimoja cha Aceclofenac.

2. Lazima Screen ya kompyuta iwe kwenye level ya macho yako. Tafuta meza na kiti ili screen iwe kwenye level ya macho.

3. Lazima ukae straight. Position yakukaa kwenye kiti inabidi iwe straight. Haitakiwi uiname mbele sana wala nyuma sana.

4. Baada ya nusu saa lazima ufanye mazoezi za kustretch misuli kama wanavyofanya kabla kuanzaa mpira.

5. Pia unaweza kutumia viti vya Egronomical. Zina saidia kuweka mwili wako sawa unapokaa.
 
Jana tumemwona daktari akasema hii inatokana na kufanya mapenzi mfululizo wakati huo akiwa anafanya mazoezi kila siku, je hiyo dawa itasaidia maana japo anafanya mazoezi ya mpira ila huwa analalamika magoti kuuma

Ndiyo, hiyo dawa itafaa.
 

awa. Ushauri wangu ni yafuatayo:

1. Baada kumaliza haja kubwa na ndogo hakikisha una kausha pembeni ya mapaha na miferej ya mapaja.

2. Usivae nguo za ndani ya kubana.

3. Tumia Dawa Hizi:

- Terbinafine Tablets 250mg; Kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa miezi moja.

- Terbinafine Cream; pakaa kutwa mara mbili, asubuhi na usiku kabla ya kulala kwa muda wa miezi moja.
 
Dk. Mimi tatizo langu ni kwamba nimeparalyze hasa mguu wa kushoto lakini pia mguu unakuwa na stiffness na spasms, sasa nimetumia baclofen lkn sipati nafuu kabisa. Mguu bado ni mgumu ata kufanya mazoezi nashindwa. Ni dawa gani nyingine nzuri inaweza kunisaidia? Au nirudi tena hospital ?
 
Habar za majukumu mkuu nina dada yangu anasumbuliwa na maumivu sehemu za sili nakunawakati anatokwa na ute mweupe wakati mwingine anahisi muwasho mkali sana hasa wakati wa hajandogo pamoja na maumivu.
 

Mkuu, kwa Hilo Bora urudi Hospitali
 
Mkuu Dr.SajjadFazel! Nina tatizo kubwa ka miaka na miaka. 1. Naumwa chronic migraine hii ni almost kila siku 2. Napata uchovu na kuchoka pasipoishi pia mwili kuumwa karibia wote. Nateseka sana hapa Kipanda uso nimetumia dawa nyingi sana ikiwa ni pamoja na Botox injections
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…