Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Barikiwasanaa DKHapana dawa hiyo pekee inatosha
OMBII LANGU MLETR WATUWENGI WAJIUNGE HUUMU WAPATE MSAADA WA DK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barikiwasanaa DKHapana dawa hiyo pekee inatosha
DkChukuwa dawa hii alafu nipe mrejesho:
Ebastan 5mg - kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa wiki mbili.
Mkuu nilikuwa hospital (Fortis) wiki mbili zilizopita mana niko Delhi kimasomo nikapima nikaonekana nina acid dokta akaniandikia Nexium nimemaliza lakin bado najisikia kama awali no improvements. Dawa gani nzuri niwaondoe hawa acid mkuu.
Utakuta mtu unapiga mswak asubuh na jion baada ya kula ila mwisho wa sk meno yanaoza ni kwasabab gan?
Naomba kujua kuwa, je Kuna tiba halisi ya vidonda vya tumbo?
Na nini hasa tiba ya ugonjwa huu?
Nina ndugu yangu anaupungufu wa ute katika magoti yake
Dk
Nakwamtoto wamiaka sits dose inakuwaje
Doc NA mtoto anavidonda kwenyeulimi mwishoni vimeanza majuzi anakohoaa mwanzomwisho bumper dawagani kaka nimempima uti anaykidogo... Malaria kidogo...msaadaPls
Barikiwasana
Jana tumemwona daktari akasema hii inatokana na kufanya mapenzi mfululizo wakati huo akiwa anafanya mazoezi kila siku, je hiyo dawa itasaidia maana japo anafanya mazoezi ya mpira ila huwa analalamika magoti kuumaMwambie atumie dawa hii:
Omeflex - Kidonge kimoja asubuhi na kimoja usiku kila siku kwa muda wa miezi moja.
Hbari Dokta miminina tatizo la kuumwa mgongo mara kwa mara kazi nifanyayo ni kutengeneza website za wateja je ni kitu gani au tiba gani naweza kufanya ili kuondoa tatizo hili? ASANTE
Jana tumemwona daktari akasema hii inatokana na kufanya mapenzi mfululizo wakati huo akiwa anafanya mazoezi kila siku, je hiyo dawa itasaidia maana japo anafanya mazoezi ya mpira ila huwa analalamika magoti kuuma
Dr mm Nina tatizo sijui ni fagasi au VIP sehemu zangu za siri zinapata km magamba mangamba ambayo huaza kutoka utazani ungojwa wa ngonzi na huwa yanuma sana mda mqungine huacha vidoda kabisa na pembeni mwa mapaja huwasha na kutoa km unga unga mweupe?? Nn tatizo maana natumia maji ya chumvi kuonga ? Msada plz
Dk. Mimi tatizo langu ni kwamba nimeparalyze hasa mguu wa kushoto lakini pia mguu unakuwa na stiffness na spasms, sasa nimetumia baclofen lkn sipati nafuu kabisa. Mguu bado ni mgumu ata kufanya mazoezi nashindwa. Ni dawa gani nyingine nzuri inaweza kunisaidia? Au nirudi tena hospital ?