Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
-
- #801
Pole na majukumu Dr.
Umekuwa kimya sana.
Niliuliza swali hili hapo juu "Je kupishana kwa tarehe za kuingia bleed period kila mwezi linaweza kusababisha mtu asipate mimba? Na je tiba yake ni ipi?"
Nitashukuru sana nikipata majibu.
@Dr Sajjad Fazel
Dr miguu inauma sana
sina balace
misuli Ina spasm ,pin and needles
diclofenac hainisaidii kabisa labda kidogo Ligaba
Je ni multiple sclerosis?
Nini dawa yake maana maumivu ni non stop
thanks
Mkuu Dr.SajjadFazel! Nina tatizo kubwa ka miaka na miaka. 1. Naumwa chronic migraine hii ni almost kila siku 2. Napata uchovu na kuchoka pasipoishi pia mwili kuumwa karibia wote. Nateseka sana hapa Kipanda uso nimetumia dawa nyingi sana ikiwa ni pamoja na Botox injections
Doctor tunaomba msaada wa hilo swali lakupishana tarehe za blead
Habari Dr pole na majukumu,Lakini naamini upo hapa kwa kutusaidia zaidi MUNGU akubariki..Dr tatizo langu ni kuwa na mbegu chache sana hivyo kutokupelekea kusababisha mimba kwani nimepima na Dr ameniambia Nina mbegu milioni 1 na ili usababishe
Mimba inafaa angalau ziwe mil4 sasa nataka kujua nifanye nini ili ziongezeke maana hata Kama nitapiga bao 3 bado ni kiasi kile kile,Au dawa gani itasaidia ahsante.
asalam aleikum Doctor
Leo ni siku ya 3 nahisi maunivu chini ya kitovu. maumivu yenyewe yapo kama vile ukibanwa na mkojo halafu ukabonyeza kwwnye kibofu. maumivu yalianza chini ya kitovu pande zote siku ya kwanza then siku ya pili yakawa katikati na upande wa kulia sasa leo nimeamka naona ni upande wa kulia tu ndo kuna maumivu. sasa sijajua ndo yanakwisha ama ni tatizo ambalo linahitaji uchunguzi zaidi. Maumivu siyasikii hata nikiwa nakimbia au kufanya shughuli yoyote ile ila nayasikia nikibonyeza sehemu husika. Naomba ushauri wako nitumie dawa gani kama tatizo hili litaendelea. Asante
Habari dokta pole kwa majukumu ya kazi me Nina tatizo la miguu toka mwaka 2003 nikitembea huwa inajigosha kwenye joint nisaidie dokta nimetumia supu ya kongoro...bamia...lakini tatizo ninalo mpaka Leo... Na nikitembea mwendo mrefu nachoka Sana... Dada Miriam
Habari za leo Dr. S. Fazel!!
Mimi niatatizo la muda mrefu kwamba kila ninapoenda haja kubwa huwa ninawashwa sana sehemu ya haja. Aidha hivi karibuni kuliibuka tatizo lingine nalo ni kwamba choo huwa na chembechembe za damu, nilienda kituo cha afya walinipatia dawa ila baada ya kumaliza dawa hizo tatizo limerejea palepale. Tafadhari naomba msaada wako mkuu.
Dr. Sajjad nakushukuru sana na ubarikiwe sana kabisa.Una tatizo la fangasi na hiyo inafanya pia ikipata vibration ianze kuwasha. Ushauri wangu ni yafuatayo:
1. Hakikisha huvai nguo zinazobana
2. Hakikisha unabadilisha nguo za ndani
3. Kausha eneo la siri na mapaja baada kumaliza haja ndogo au kubwa.
4. Tumia dawa hizi:
- Terbinafine tablet, kunywa kidonge kimoja kila siku kwa muda wa siku 28.
- Terbinafine cream na Hydrocortisone cream changanya hizi dawa mbili alafu, pakaa asubuhi na usiku kwa muda wa siku 28.
He unaweza kuipaka sehemu yeyote mwilini externalNingekushauri utumie Sonaderm Cream kila siku mara mbili kwa wiki moja alafu uniambie unavyoendelea.
Unaweza paka sehemu yeyote mwiliniasante dk japo n
imeshawahi ijaribu tumia nahaikunipa matokeo yoyote ila naanza tena ili nikupe mrejesho.
Ubarikiwe sanaUsisahao nina majukumu mengi na najitolea kwaajili ya Jamii. Huwa nikipata muda najaribu kujibu maswali mengi kwa wakati moja.
asante kwa ushauri drUshauri wangu:
1. Rabeprazole 20mg, Kunywa kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa miezi moja.
2. Punguza kula pilipili na vyakula vyenye pilipili au viungo vingi (spices).
ila niliwahi kupewa dawa inatwa omeprazole je hy ni tofauti na hii rebeprazole? ki matumiz?asante kwa ushauri dr
ila naomba pia kuuliza je kunywa juice ya vtu vchahu kama vle ukwaju haina madhara kwa mimi ninaesumbuliwa na acid?
Dr umelike ila cjapata jibu la swali langu!!!
ila niliwahi kupewa dawa inatwa omeprazole je hy ni tofauti na hii rebeprazole? ki matumiz?