Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

dokta Nina tatizo YA kupata erection asubuhi lakini pia Kila nikitaka kuhave sex penis inasinyaa na ikierect in 3 minutes nakuwa nimemaliza and I can't go for another round...... Nina history mbaya YA masturbation. Nitumie Dawa gani ili nirudi Kuwa Sawa. Thanks in advance
 
Habari za kazi Dr.

NAOMBA USHAURI JUU YA TATIZO LA MIGUU HASA CHINI YA MAGOTI KUWAKA MOTO NA KUUMA. TATIZO HILI NINALO KWA MIAKA 2 SASA NA HALI INAKUWA MBAYA SANA NINAPOKAA KWA MUDA MREFU SEHEMU MOJA HASA WAKATI NIKIWA KWENYE SAFARI NDEFU AU HATA KWENYE DALADALA.

MWAKA JANA AUGUST NILIENDA HOSPITAL NIKAPEWA NEUROBIN KWA MWEZI MMOJA PAMOJA NA AINA ZINGINE, NASHUKURU NILIPATA NAFUU KIDOGO ILA SASA HALI INARUDI TENA.
NAOMBA KUJUA HILI NI TATIZO GANI NA NAWEZA KUTUMIA DAWA GANI KULITIBU?

Asante sana.
 
Habari Dr. Mm nina mtoto mdogo wa miezi 11 sasa. Tatizo alilonalo ni kuwa kila akiugua malaria damu inapungua. mpaka sasa kashaongezewa damu mara mbili tangu azaliwe. naomba kujua tatizo la kupungukiwa damu kwa watoto huwa linasababishwa na nini. Asante.
 
Kituo cha afya amefika na anapata matibabu kawaida.Ila suala la kuvimba tumbo (gasi)
 
Nakushukuru uliniandikia dawa hizi kwa ajili ya fangasi sugu, kwakweli nimetumia na nimemaliza na nimepona kwa neema ya Mwenyezi MUNGU. Ubarikiwe kwa kuwasaidia watu hapa. Ila mimi uliniambia hiyo terbinafine nichanganye na clotrimazole na nimefanya hivyo kwa mwezi mzima. Thank you very much Dr. Sajjad
 
Mkuu naomba msaada wako kichwa kinanisumbua sana kinauma kichwa kizima kuanzi mida ya SAA 10 jion hadi mida ya kulala kila siku naumia sana
 
Naomba kujua dawa sahihi ya bawaila yaani vivimbe kwenye sehem ya haja kubwa, vivimbe hivi kuna muda vinaongezeka na kusababisha kutaka kwenda uani Mara kwa Mara lakini bila kutoa haja kubwa
 
Dokta nina tatzo la vipele chini ya macho yote mawili na nimezunguka hospitali nyingi sijapata uchunguzi na kuna hospitali nilienda dokta wa ngozi akaniambia ugonjwa wangu hauna dawa naomba msaada wako

Ni kweli ,ni ngumu kutibika hiyo kwa kutumia hizi cream AU lotions .

Ulichoambiwa ni sahihi,unachotakiwa kufanya ni usipake cosmetics nzito usoni au cream ,usoni tafuta mafuta ya olives (hayatoondoa tatizo lakini yatasaidia kwa mbali ku mask na kufanya ngozi yako kuwa more soft) au ukikosa kabisa tumia mafuta ya nazi yale ya kutengeneza mwenyewe .

The more unavyotumia cosmetics na cream usoni ndiyo the more una increase tatizo ,sababu cream nyingi wanatumia corticosteroids ambazo zina sifa ya kuchubua au kuunguza ngozi ,ndiyo maana sometimes unakuta hata wale wenye kutumia cream za dawa kama ni usoni basi ngozi utaona kama inakua nyekundu hivi ile sehemu ambayo ume apply hiyo cream .

Hilo tatizo lako mara nyingi huwa ni la muda mrefu ,wengine huwapata kwa kutumia cosmetics fulani ambayo inasababisha allergy na ngozi yake then inaanza kutengeneza hivo vipele taratibu ,then vinakua hivyo.Wengine Mazingira akibadili hasa akitoka sehem za joto kwenda sehem za baridi,wengine hawajui why wamepata hiyo vipele,wengine wanapata uzeeni but kuji expose sana kwenye jua plus fake cosmetics huwa ni sababu moja wapo .


Any honest dermatologist will tell you the truth ,you can't treat hivyo vipele kwa kutumia vidonge au cream .kuna watu wana vikubwa zaidi ya hivyo .


But kuna hii treatment sijui kama bongo ipo,inaitwa Laser Therapy ,hiyo ndiyo the only way unaweza kuviondoa,wanatumia mionzi kuviondoa .

Otherwise,Make sure jua halikuchomi sana,ikiwezekana tumia miwani ukiwa sehem za jua kali,tumia mafuta ya olives au ya nazi kupaka usoni ,usi apply any cream or lotion kwenye usoni.Mafuta ya olives will make your facial skin much better .

All The Best.
 
Dr naomba kujua dawa nzuri ya duodenal ulcers ( nimeshapima tayari ndio maana nimesema hivi), ni toka mwezi wa saba mwakajana napata shida ya hivi vidonda!!!
Mbaya zaidi toka hivi vidonda vimeaza hata libido imeshuka sana
 
Dr nina tatizo la miguu kuwaka. kwenye unyayo niliwai kutumia dawa aina ya neurobion forte nkapataa nafuu. lakini baadae hali ikaendelea ivi ipi itakuwa dawa sahihi au matibabu yake naweza yapata wapi msaada Dr.
 

Asante [emoji120]
 
Reactions: BAK

Tumia dawa hii: Sildenafil Citrate, Kidonge kimoja nusu saa kabla ya kufanya tendo.
 
Naomba kujua dawa sahihi ya bawaila yaani vivimbe kwenye sehem ya haja kubwa, vivimbe hivi kuna muda vinaongezeka na kusababisha kutaka kwenda uani Mara kwa Mara lakini bila kutoa haja kubwa

Anusol Ointment, Pakaa eneo hilo kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili.
 
Mie naomba nikupongeze sana kwa juhudi zako kubwa za kuja hapa na kuwasaidia wanachama mbali mbali wa JF kuhusu ushauri walio kuomba kwenye maradhi mbali mbali yanayowakabili. Hongera sana kwa moyo wako wa kibinadamu kusaidia. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na maisha marefu. Ahsante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…