Hivi viuvimbe huwatokea sana wajawazito , na huwa vinaishia vyenyewe. Ndivyo nufahamuvyo bt Dr please msaada wako.Habar Dr. Niliona ki uvimbe sehem ya haja kubwa nikamueleza rfk angu akaniambia niwe nachemsha maji nachanganya na detol ya maji nakanda asbuh mpka jioni kweli kile ki uvimbe kikaisha lkb sasa nina kama wiki mbili nime observe kama kuna uchafu wa maji unatoka sehem ya haja kubwa kwa mbali sana na ham ya tendo la ndoa imepungua je ni nn? Na tiba yake ni nn?
NASUBIR MSAADA WAKO DR JUU YA HII POSTDR nmi nina tatizo la nyonga zote ila zaid upande wakushoto nimesumbuliwa na tatizo tango mwaka 2011,
tatizo lilianza mara baada ya kupewa dawa aina ya doxaxlyne kutokana na tatizo la maumivu makali ya tumbo pindi niwapo period,
dawa niliambiwa nimeze 2x2 kwa cku nilipofika cku kama ya tatu hiv nyonga ya kushoto iliuma sana hadi nikawa cwezi kujigeuza kitandani wala kutembea bila msaaadaaa
nikaacha dawa zile nikaanza kutafta tiba ya nyonga ...
nimetumia dawa nyingiii na tofauti za hosptl na kienyeji napata nafuu ya muda mfupi tu then tatizo linarud
mwaka jana mwishoni tatizo lilianza tena maumivu yakawa makali kama ya mwazn ikabd niende tena kwa dr wa mifupa. nikapigwa x-rays na kuambiwa nina shida kwenye uti wa mgongo yaan upo very straight badala ya kubend na shingo vlevle imenyooka niliana matibabu kwa kutumia dawa kadhaa kama vile; pligabline,neurobin, flux... n.k 9samahan kwa kuandika dawa kimakosa c unajua fan za watu) na mazoezi juu, dawa nilianza kutumia tarh 4/1/2017 mpaka 3/2/2017 maana nyingi ni za cku 30.
ila baada ya hapo tatizo kama bado linajirudia maana kuna muda nahic maumivu makali
msaaada wako dr plz nifanyeje au nitumie dawwa gani ili nipone kabisaa? na je naweza kupata mtoto(kushka ujauzito) kwa tatizo nililonalo
Usifiche maradhi ndugu wewe sema tu jogoo wako hapandi mtungi sio kumtaja mtu mwingine hapa eti nina jamaa yangu. Huyo jamaa yako ndio kakuambia umtolee siri humu ? Au kila anapotoka faragha anakuja kukusimulia kuwa hajafanikiwa ? Tuww wawazi jamani dr yupo humu kwaajiri yenu so weka mambo mubashara ili aweze kukusaidia ila ukifichaficha mambo huwezi pata majibu sahihi.Kuna jamaa yangu ameniadithia tatizo lake nikasema ngoja niulize.Inawezekana vp mtu kuwa mzima wa afya gafla amepata msichana amelala nae usiku kucha jogoo hasimami baadae akatafuta meingine jogoo akasimama kama kawaida kulikoni hapa dkt
Samahani dr. Kwanza mm sio dr. Ila kutoka moyoni naipenda sana taaluma hii na hijifunza sana kupitia utube na kwingineko. Kwa kuingia kwenye jibu lako. H pylori anaishi tumboni yes. Ila najua wanapima damu ili kuangalia antigen kwenye dam. So antigen ikishatengenezwa kwa ajili ya kuua bacteria wa h pylori ukinywa dawa bacteria wakafa, antigen nayo hupotea ama ukipima kwa dam utaendelea kuwepo maana ikishatengenezwa itaendelea kuwepo maisha yote ya binadamuLakwanza mkuu, Bakteria wa H.Pylori wanakuwa tumboni na siyo kwenye damu. Unaweza kupima damu kujua kwamba wapo tumboni lakini hawakui ndani ya damu. Mbali na test hiyo, je unadalili yeyote?