Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Habari Doctor, wapi Tanzania naweza Mpima mtoto WA Miaka 3 for Juvenile Rheumatoid Arthritis. Nitashukuru sana Kama nitapata jibu.
 
Nasumbuliwa na hedhi kuchelewa kutoka baada ya kuchoma sindano ya Diprofos. Nimekuja kupata hedhi ambayo haitoki nyingi pia imachukua mda mrefu haiishi. bado naona ina vuja kidogo kidogo, naomba msaada
 
Mkuu niliwahi kufanyiwa upasuaji na kuchomwa sindano ya ganzi kwenye uti Wa mgongo.Mwaka huu nimeanza kujisikia upande Wa kulia kuanzia mguu mpaka bega na mkono kunakuwa kama kuna kitu kunanitembea na mkono kukosa nguvu na vidole kufa ganzi je ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maumivu ya sehemu za mbavu kwa ndani...
Ni kama kichomi lkn haiishi. Yalianza ghafla na yanasikika sana ukivuta pumzi kwa nguvu au ukiiinama kiubavu ubavu. Yapo upande wa kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr nasbr msaada wako katk hili tatizo langu
 
 
Doctor me nina tatizo nikishushia mara ya kwanza yapili inakuwa mgogoro na uwezo unakuwa mdogo nisaidie
 
Doctor, naomba kujua dawa inayotibu TB ya Matezi na TB ya Mapafu ni tofauti?
 
mimi ni nkijana mwenye umri wa miaka 31, nimeoa na kwa sasa tunazaidi ya mwaka mmoja katika ndoa yetu, ila nimekuwa natatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa mda sasa,
kila nikishafanya tendo la ndoa na mke wangu, yale maji maji yake huwa yananiwasha, na kupelekea kujikuna lakini hata nikioga baada ya muda ile hali huweza kujirudia na kuanza kuwashwa tena. kuna kipindi nimekuwa nikiyumia dawa za tube za kupaka lakini hakuna tofauti yoyote iliyopatikana.
pia mke wangu amekuwa na tatizo la kutokushika mimba ingawa tulisha enda hospitali wate wawili kwa mara kadhaa nakuonekana hatuna tatizo lolote lile.
 
Dokta habari yako? Mi nina tatizo moja, mi ni mwathirika wa punyeto na kila siku huwa napiga bao 3-4, naomba msaada wako ili niweze kuacha tabia hii
 
Naomba unisaidie dawa ya miguu na mikono na shingo au mabega kufaa ganzi ,nimetumia vidonge mbali mbali vya neurosuport na bi complex lakini wapi msaada tafadhari
 
Mtoto wangu 2yrs old anatokwa na vidonda miguuni na vinamuwasha Sana then vinakauka na kurudia tena mara kwa mara, tatizo Ni nini hapo?
 
Doctor, naomba kujua dawa inayotibu TB ya Matezi na TB ya Mapafu ni tofauti?
Dawa ya tb ni ya aina moja ukienda kwenye vituo vya wanakupa mimi nilikuwa na tatizo ya tb ya matezi naendelea kutumia dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…