Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Acha kulamba nyuchi kijana.Dawa ya fangasi wa sehemu za siri walioingia mdomoni au kwenye ulimi na kuleta hali kama mtu aliyeungua uji au chai kwenye ulimi lakini hakuna maumivu hata kidogo.
[emoji23] [emoji23] sana tu nimecheeka!
!
Mkuu umecheka mno hehehehe maana huyu kasema tuulize tu na yeye atajibu.
Ok,mkuu ngoja nigoogleMaumivu sio dalili pekee ya ugonjwa. Google tinnitus ujisomee zaidi na uone Kama uko kwenye hatari ya kuipata
Asante mkuu nimesoma ngoja nianze kufanya mchakato wa kwenda hospital.Maumivu sio dalili pekee ya ugonjwa. Google tinnitus ujisomee zaidi na uone Kama uko kwenye hatari ya kuipata
Symptoms and causes - Tinnitus - Mayo Clinic
KUNA DAWA YAKUTIBU KIFUA CHA PUMU?
Tatizo la mwili kuwasha, nikiwa kwenye jua au mfano ukikimbia mwili ukichemka basi inatokea vipele vina maji baada ya muda vinaisha.
Mimi nikipigwa na baridi au upepo tumbo lang huwa lina jaa gesi sana na kila ktu kina vurugika tumboni yani naharisha, pia hata nikipatwa na wasiwasi sana huwa linajaa gesi. Ni nini tiba ya tatizo hili
Dr nikituma pm haiji umezuia pm?
Hapana. Sijiskii kifua kuwaka moto.Naona itakuwa unayo Acidity. Je unaona kama kifua inaunguwa au kuwaka moto?
26YRZNdiyo, Niambie umri wa mtu anayohitaji matibabu ya pumu.
Pia najaNimerekebisha PM. sasa jaribu kutuma.
Hapana. Sijiskii kifua kuwaka moto.
nitumie fursa hii kuku pongeza sana ndugu Doctor kwa maelezo na ushauri mzuri.