Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

nnina tatizo la fizi kuvimba na kuuma na kutoa damu pale ninapopiga mswaki, nini sababu yake(cause) na dawa (cure) ni ipi daktari?
 
dokta mimi nimeshapima hospitalini na kuambiwa nina wadudu wa H PILORY nikapewa vidonge flani vinaitwa H. pilory kit kama sijakosea zilikuwa za kutumia wiki nzima likini haikusaidia,pia tumbo langu hujaa gesi sana kila mara,na pia baada ya kumaliza kula tumbo kwa juu upande wa kulia inauma sana.je dawa gani itanisaidia?
 
Dalili napata maumivu ya tumbo,kichwa,nakohoa lakini sitoi kohozi,kuharisha na muda mwingi napata choo kigumu na ivi karibuni kiuno na sehem ya mgongoni kunawaka moto na napata maumivu kifuani na tumbo kujaa gesi mkuu

Sawa. Unaonyesha unatatizo la acidity pamoja Na infection ya tumbo. Chukua Dawa Hizi:
1. Pantoprazole 40mg kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa miezi moja.
2. Norzole kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa siku saba.

Asante
 
nnina tatizo la fizi kuvimba na kuuma na kutoa damu pale ninapopiga mswaki, nini sababu yake(cause) na dawa (cure) ni ipi daktari?

Sababu inaweza kuwa fizi yako haipo imara. Huu unatokana na kupiga mswaki juu la meno kwa kasi Na nguvu sana.

Nakushauri upige mswaki pole pole bila kutumia nguvu za ziada. Pia pakaa dawa hii (Quadrajel) kwenye fizi kutwa mara mbili kwa muda wa wiki moja.
 
Pumbu moja kuvimba na kusinyaa kama punje ya hindi pia kuwasha mara kwa mara.
 
Sikio limekuwa likiwasha kwa ndani likiambatana na madonda karibu na koo na nikitumia dawa ya sikio (drops) madonda yanaongezeka, nikianza kutumia ile ya madonda sikio linawasha zaidi na nikitumia zote ugonjwa unaweza egemea kwenye sikio au madonda. Naomba msaada wa ushauri na dawa Dr.
 
Mkuu, wamefikaje huko? Pole sana.
Ule mchezo unahitaji usafi na umakini wa hali ya juu sana, huku kumruhusu dem alambe dudu yako halafu unachomeka kwa papuchi yake then anamalizia kukunyonya ulimi unapompa mautam ni hatari sana kwani wadudu wananata kwenye dudu na kuingia mdomoni mwa dem anaponyonya dudu na kisha kuingia mdomon mwako pia pind mnyonyanapo ndimi.
 
Ule mchezo unahitaji usafi na umakini wa hali ya juu sana, huku kumruhusu dem alambe dudu yako halafu unachomeka kwa papuchi yake then anamalizia kukunyonya ulimi unapompa mautam ni hatari sana kwani wadudu wananata kwenye dudu na kuingia mdomoni mwa dem anaponyonya dudu na kisha kuingia mdomon mwako pia pind mnyonyanapo ndimi.
Sawa mkuu, nilidhani ni kale kamtindo ka kulamba chumvi unako!
 
tatizo la kutokwa na vipele kichwan vinatoa kama usaha ni dalili ya nn?na tiba yake mkuu vp

Hii inatokana na infection ya bakteria. Inawezekana kutokea kama mtu kanyoa nywele kwa kutumia vifaa isiyokuwa safi. Ushauri wangu ni yafuatayo:
1. Ni vizuri kuosha nywele na shampoo mara mbili kwa wiki.
2. Tumia dawa hii yakumeza: Amoxiclav 625mg, kidonge kimoja kutwa mara mbili kwa siku saba.
3. Tumia dawa hii yakupakaa: Sonaderm cream, pakaa eneo ya vipele kutwa mara mbili kwa siku saba.

Asante.
 
Dr mi nina tatizo external Hemorrhoids kuna kinyama kimeota pembeni ya haja kubwa na nimetumia dawa mbalimbali za mitishamba, kizungu na za kichina.

Hali inatulia baada ya mwezi maumivu yanaendelea napata maumivu makali wakati wa haja kubwa takribani kila mwezi hali inajirudia nomba ushauri wako DR. Dawa gani yaweza nisaidia hili tatizo?
 
Dr mi ninatatizo external Hemorrhoids kuna kinyama kimeota pembeni ya haja kubwa na nimetumia dawa mbalimbali za mitishamba, kizungu na za kichina. Hali inatulia baada ya mwezi maumivu yanaendelea napata maumivu makali wakati wa haja kubwa takribani kila mwezi hali inajirudia nomba ushauri wako DR. Dawa gani yaweza nisaidia hili tatizo?

Mkuu, dawa gani za kizungu umetumia?
 
Tatzo la mwanamke kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa bila maumivu kwa muda mpka wa siku nne tatzo ni nn? kwa muda wa miezi takriban sita sasa.

Mkuu, kwa tatizo hilo inabidi ukamuone gynecologist, Madaktari bingwa wa wanawake.
Kwasababu inaweza kuwa siyo tatizo yakutibika na dawa bali na operesheni.
Na inabidi daktari amtizame huyu mwanamke na kufanya vipimo ili tatizo lijulikane.

Asante.
 
Back
Top Bottom