Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Sijui kama in kawaida mbona hutokea Mara kwa Mara Ila ngozi iko hawaida

Siyo kawaida. Inaonekana unatatizo la fangasi. Ushauri wangu nii:
1. Tumia dawa yakupaka Miconazole Nitrate Cream kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili.
2. Baada yakumaliza haja yako, panguza eneo hilo vizuri mpaka ikuwe kavu kabisa.
3. Hakikisha unapooga unatumia sabuni linalouwa vimelea kama Sabuni ya Dettol au Lifebuoy.

Asante.
 
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Elimika Juu ya Afya: Bofya Hapa

Dawa za kushusha pressure za asili tafadhali
 
Dr. Sajjad Fazel mimi nina tatizo la kuwa na meno yenye rangi ya njano, hii sio asili ya meno yangu kwasababu miaka ya zamani meno yangu yalikuwa yana rangi nyeupe, kuna wakati nilikwenda kliniki ya meno kuyasafisha yakawa meupe kiasi, naomba unisaidie kama ipo dawa ya kusukutua mara kwa mara ambayo nitakuwa naitumia kuyafanya meno yangu kuwa meupe siku zote? Kuna wadau humu jamii forums walisema ukitumia baking powder inayotengenezeaga maandazi kwa kusukutua inasaidia kusafisha meno na kuwa meupe.
 
Mkuu, ushatumia dawa nyingi sana. Ushauri wangu ni huu:

1. Inaweza kuwa una allergy inayoleta shida hili, Ni vizuri nyumba unaoishi isikuwe na vumbi sana. Isafishwe na kupigwa deki ili kuondo vumbi.
2. Jaribu kuto lala chini ya pangaboi au A/C, inawezekana unapata tatizo hili kutokana na kupulizwa na hewa baridi usoni.
3. Tumia dawa hii: Fexofenadine 60mg kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili. Alafu nipe mrejesho.

Asante.
asante docta kwa ushauri
 
Mke wangu ana tatizo la watoto kufia tumboni..mimba ya kwanza ilifika miezi nane na pili ikafika miezi saba..pia akiwa mjamzito mtoto huwa hachezi tumboni.. pia hukosa hamu ya kula kwa muda mwingi wa ujauzito...mimba ya kwanza ilipoharibika aliambiwa kuwa tatizo halitaweza kujirudia, mimba ya pili akazalishwa mtoto mapema baada ya mimba kufika miezi nane.. mimba ya tatu ilipofika miezi saba mtoto akafia tumboni..je tatizo hilo litaishaje??
 
Dr. Sajjad Fazel mi nina tatizo la kuota "kijinyama" kati ya maungio ya mguu wa kulia na sehemu za siri(korodani). Hakiumi ila ukikibana na vidole ndo na sense maumivu yake.
Mwanzo nilikipuuza ila naona kadri siku zinavyosonga kinazidi kurefuka!
Je, hii ni hali ya kawaida tu?
Nifanyeje ili kipotee make huwa nafikiria siku moja nikikate na wembe lakini nahofia pengine naweza kutokwa na damu nyingi au kusababisha tatizo jingine kubwa zaidi.
Msaada tafadhari!
 
Mkuu, Tafadhali kamuone Gynecologist. Hawa ni madaktari bingwa juu ya swala hili na watakusaidia kwa ubora na ufanisi mzuri.
 
Dr. Sajjad Fazel mimi nina tatizo la kuwa na meno yenye rangi ya njano, hii sio asili ya meno yangu kwasababu miaka ya zamani meno yangu yalikuwa yana rangi nyeupe, kuna wakati nilikwenda kliniki ya meno kuyasafisha yakawa meupe kiasi, naomba unisaidie kama ipo dawa ya kusukutua mara kwa mara ambayo nitakuwa naitumia kuyafanya meno yangu kuwa meupe siku zote? Kuna wadau humu jamii forums walisema ukitumia baking powder inayotengenezeaga maandazi kwa kusukutua inasaidia kusafisha meno na kuwa meupe.

Mkuu,
1. Tumia Colgate dawa ya mswaki.
2. Tumia Listerine Mouthwash kutwa mara mbili

Vitu hizi zinasaidia pia:
1. Kupiga mswaki na mchanganyiko wa (Chumvi + Mkaa)

Tatizo la rangi ya njano linatokana na:
1. Chai / Kahawa
2. Sigareti au Shisha.

Meno inatakiwa isafishwe na madaktari wa meno kila baada ya miezi sita.

Asante.
 
Dr. Sajjad Fazel mi nina tatizo la kuota "kijinyama" kati ya maungio ya mguu wa kulia na sehemu za siri(korodani). Hakiumi ila ukikibana na vidole ndo na sense maumivu yake.
Mwanzo nilikipuuza ila naona kadri siku zinavyosonga kinazidi kurefuka!
Je, hii ni hali ya kawaida tu?
Nifanyeje ili kipotee make huwa nafikiria siku moja nikikate na wembe lakini nahofia pengine naweza kutokwa na damu nyingi au kusababisha tatizo jingine kubwa zaidi.
Msaada tafadhari!

Mkuu kwa hilo itakua tabu sana kutoa ushauri hapa. Tafadhali kamuone daktari. Manake inabidi mtu aione hiyo kijinyama mpaka akushauri. Inaweza kuwa mambo mengi. Usitumie wembe. Kamuone Daktari wa General Surgery. Ndiyo atakayo kusaidia.
 
Back
Top Bottom