Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi nina nywele nyingi za kifuani kuna namna ya kuzifanya zisiote tena
Dawa ya kipanda uso ni nini dr? Na husababishwa na nini???
Non,hapana yaani ni some times tu,nasikia kama nawashwa kwa ndani,halafu nikikaa sana let say ofisini kuanzia asubuhi mpaka lunch time,miguu inavimba
ninasumbuliwa na pua kuziba sana baada ya muda ina badili kutoka pua moja na kwenda nyingine na mafua ya Mara kwa Mara yananipata nimeenda hospital tofauti nimeambiwa Nina allerg katika Tiba zao sikufanikiwa kupata nafuu je ninaweza kufanyaje nipate nafuu
Habari mkuu
Mimi nasumbuliwa sa na miguu huwa inawaka moto mpaka nashindwa kulala, nimetumia baadhi ya dawa lakini tatizo bado liko pale pale zaidi sana nimepima sukari na presure ziko nomal wamenipa dawa za neves lakini wapi bado inachoma choma. Naomba unisaidie nitumie dawa gani nateseka sana dr, na je utakuwa ni ugonjwa gani unasababishwa na nini? Asante
nilitumia cetizine, diprofos ya injection, spray avamysin, ephedrine nasal drop.Niambie dawa ulizozitumia mpaka sasa
Kuna jamaa yangu ameniadithia tatizo lake nikasema ngoja niulize.Inawezekana vp mtu kuwa mzima wa afya gafla amepata msichana amelala nae usiku kucha jogoo hasimami baadae akatafuta meingine jogoo akasimama kama kawaida kulikoni hapa dkt
nilitumia cetizine, diprofos ya injection, spray avamysin, ephedrine nasal drop.
Nimefanya kipindi juu ya kisukari, Bofya hapa:
Alafu kama unamaswali yeyote niambie.
Tatizo la kuwa na uvimbe kwenye mayai ya mwanamke huweza kutibika bila upasuaji?
Asante, naomba kufahamu kuna uwezekano wa kupata ujauzito baada ya upasuaji?Mkuu ningeashauri umuone gynecologist na kufanya upasuaji ni bora ilikuondoa tatizo hili.
Asante.
Asante, naomba kufahamu kuna uwezekano wa kupata ujauzito baada ya upasuaji?
Asante sana.Mkuu uwezekano upo. inaendana na tatizo lenyewe, Lakini mara nyingi uwezekano upo.
Mm ninawashwa Mara kwa Mara sehemu ya haja kubwa tatizo nini na dawa Yake nini? Dr.