Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dawa ya kipanda uso ni nini dr? Na husababishwa na nini???

La kwanza, tatizo hii linawezakurithiwa. Asilimia 70 ya wagonjwa waliokuwa na tatizo hili, wanamtu mwingine kwenye familia yao na tatizo hii. Kuna baadhi ya watu tatizo hili linazidi wakiwepo kwenye eneo ya kelele nyingi.

Anaweza kutumia dawa hii: Sumatriptan 25mg anapopata tatizo hili.
 
Non,hapana yaani ni some times tu,nasikia kama nawashwa kwa ndani,halafu nikikaa sana let say ofisini kuanzia asubuhi mpaka lunch time,miguu inavimba

Chukua Pantoprazole 40mg kidonge kimoja kila siku kwa wiki mbili na pia furosemide 40mg kidonge kimoja kila siku kwa wiki moja.
 
ninasumbuliwa na pua kuziba sana baada ya muda ina badili kutoka pua moja na kwenda nyingine na mafua ya Mara kwa Mara yananipata nimeenda hospital tofauti nimeambiwa Nina allerg katika Tiba zao sikufanikiwa kupata nafuu je ninaweza kufanyaje nipate nafuu

Niambie dawa ulizozitumia mpaka sasa
 
Habari mkuu
Mimi nasumbuliwa sa na miguu huwa inawaka moto mpaka nashindwa kulala, nimetumia baadhi ya dawa lakini tatizo bado liko pale pale zaidi sana nimepima sukari na presure ziko nomal wamenipa dawa za neves lakini wapi bado inachoma choma. Naomba unisaidie nitumie dawa gani nateseka sana dr, na je utakuwa ni ugonjwa gani unasababishwa na nini? Asante

Tumia dawa hili: Gabapentin 300mg kila siku kwa muda wa miezi moja pamoja na Neuroton kidonge kimoja kila siku kwa muda wa miezi moja.
 
Kuna jamaa yangu ameniadithia tatizo lake nikasema ngoja niulize.Inawezekana vp mtu kuwa mzima wa afya gafla amepata msichana amelala nae usiku kucha jogoo hasimami baadae akatafuta meingine jogoo akasimama kama kawaida kulikoni hapa dkt

Inaweza kuwa fikra zake zilikuwa zinamsumbua na akapata "Anxiety". Kama alikuwa na mawazo mengi au alikuwa hajiamini, fikra hizo zinaweza kusababisha "Sexual Performance Anxiety." Naona inabidi tu asiwe na mawazo lolote linalomsumbua hasa fikra za kutojiamini kwenye ngono.

Asante.
 
nilitumia cetizine, diprofos ya injection, spray avamysin, ephedrine nasal drop.

Mkuu, ushatumia dawa nyingi sana. Ushauri wangu ni huu:

1. Inaweza kuwa una allergy inayoleta shida hili, Ni vizuri nyumba unaoishi isikuwe na vumbi sana. Isafishwe na kupigwa deki ili kuondo vumbi.
2. Jaribu kuto lala chini ya pangaboi au A/C, inawezekana unapata tatizo hili kutokana na kupulizwa na hewa baridi usoni.
3. Tumia dawa hii: Fexofenadine 60mg kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili. Alafu nipe mrejesho.

Asante.
 
Back
Top Bottom