Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana sanaHilo tatizo linaitwa' "Hypnic Jerk". Hakuna haja kuchukuwa dawa yeyote kwaajili ya tatizo hili. Inabidi ubadilishe mambo machache kwenye maisha yako.
1. Ule chakula saa moja au zaidi kabla yakulala.
2. Usitumie simu, kompyuta, tv au chochote electronic nusu saa kabla ya kulala.
3. Unapolala usikuwe na fikra yeyote. Inabidi uwe umerelax na upo kwenye starehe.
4. Ni vizuri sana upate usingizi wa masaa sita au saba kila siku.
Zote hizi zitasaidia kupunguza tatizo hilo. Asante.
Bado hujanijibu doctor, swali langu kuhusu sikio kuwasha kwa ndani, na madonda kooniNatumai nimejibu swala hili. Kama sijajibu tafdhali niambie.
ninasumbuliwa na pua kuziba sana baada ya muda ina badili kutoka pua moja na kwenda nyingine na mafua ya Mara kwa Mara yananipata nimeenda hospital tofauti nimeambiwa Nina allerg katika Tiba zao sikufanikiwa kupata nafuu je ninaweza kufanyaje nipate nafuu
Ivyo vidonge sindio vile wanaita ENJOY kwa jina LA biashara au ,sio jamii ya Viagra dokta ivyo slidenafil?Sildenafil 50mg, inabidi uichukue saa moja kabla ya ngono.
Sildenafil 50mg, inabidi uichukue saa moja kabla ya ngono.
Ivyo vidonge sindio vile wanaita ENJOY kwa jina LA biashara au ,sio jamii ya Viagra dokta ivyo slidenafil?
Dr. hii ni dawa au booster? kama ni dawa ni vidonge vingapi na kwa muda gani
Dr nilikuuliza tatizo la uzazi nahisi kama umenidharau, umesema tukuombe maaada na ndio maana tunakueleza matatizo yanayotusumbua
Nauliziza cha kufanya ili kuacha sigara kwa mtu aliyevuta kwa zaidi ya miaka mitano, anayevuta wastani wa sigara tano(5) kwa siku.
matundu ambayo mtu anazaliwa nayo,yapo kwa baadhi ya watu mtu akikasirika hutoa majimaji wengine huita vitundu vya hasira
habari dr
last time niliuliza swali sijapata jibu hadi leo......narudia huenda leo sitadharauliwa
nilifanya mapenz na mpenz wangu after one wiki nikawa nasikia maumivu makali wakat wa kukojoa na na ute mweupe unatoka sehem ya kukojole....pia muda mwngine nasikia maumivu hata bila kukojoa je nn hyo na ni dawa gan naweza tumia
AHSANTE