Mshikemshike
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 421
- 210
Asante sana kwa kunielewesha. Kingine chanjo ya typhoid wanapewa kuku wakifika week ngap? na utaratibu mzuri wa chakula je wanakula kwa kiwango gnChanjo ya kuchoma ndio iko njema zaidi mkuu kwa kutumia technique ya wing web stab per cutaneous ....
Hiyo ya maji pia yaweza tumika but sidhani kama yaweza kuwa more effective kama iyo ya kuchoma mkuu....
kila la kheri...
Mkuu chanjo hupewa ndani ya week ya kwanza ....Asante sana kwa kunielewesha. Kingine chanjo ya typhoid wanapewa kuku wakifika week ngap? na utaratibu mzuri wa chakula je wanakula kwa kiwango gn
Mkuu... unaweza niambia ni dalili gani nyingine ambazo wanaonesha na ningependa unipe majina ya dawa ulizotumia?Salama mkuu,
Nina kuku chotara wana miezi 3 sasa ila sasa wamekumbwa na ugonjwa wa kuharisha sanaa,wanakufa hatari,kinyesi chenyewe ni yellowish,maji maji nimetumia dawa kama za aina 4 tofauti lkn bila bila.Naomba ushauri wako au kama itawezekana nikutafute maana mm niko dsm.
Wanakua dhaifu sana pia kuweweseka,hizi ni dawa nilizotumia pamoja na Emprolium (spelling sina uhakika nazo)Mkuu... unaweza niambia ni dalili gani nyingine ambazo wanaonesha na ningependa unipe majina ya dawa ulizotumia?
Mkuu mi mara nyingi kuku wangu huwa wanatoa hiki kinyesi nikiwapa mualoveraHuyu kuku atakua na ugonjwa gani? Hiki ndio kinyesi chake !!
Unapambana nao vipi kiongozi?Asante sana kwa msaada mkubwa hasa kwetu sisi ambao tunajaribu kutafuta uzoefu ktk ufugaji,mie pia nimekutana na tatizo hilo la ndui kwa vifaranga ambavyo mpaka sasa wana umri wa mwezi mawili na siku kadhaa.
Nimeshindwa mpaka sasa kuchanja ndui ili nipambane na ugonjwa kwanza,Shukran napambana nao na kwa Kiasi maendeleo ni mazuri.Sasa swali la msingi doctor je ktk umri huu bado naweza kuchanja ndui na ikawa na matokeo chanya?
Aiss vifaranga wa mwezi na nusu wananyonyoka manyoya ya kichwani na vichwa kubaki na mapunye..vibarango!je ni tatizo gani na nini tiba yakeMkuu... unaweza niambia ni dalili gani nyingine ambazo wanaonesha na ningependa unipe majina ya dawa ulizotumia?
What will happen kama nitawachanja baada ya mwezi au wiki mbili tatu?!Mkuu chanjo hupewa ndani ya week ya kwanza ....
Kuhusu chakula kwa vifaranga kwa kawaida kila kifaranga hula gram 40 kwa kila mmoja kwa siku ....
Njoo PM mkuu.... kwa maelezo zaidiDoctor plz nisaidie nina vikuku vya vyangu kama 30 hivi vimetotolewa leo vina siku ya 4 naomba unipe mtiririko wa madawa na chanjo zake ikiwezekana na majina ya hizo dawa. Ni kuku wa kienyeji
Ndio mkuu pia unaweza wachanja kwa muda huo na bado wakakupa matokeo mazuri tu.....Asante sana kwa msaada mkubwa hasa kwetu sisi ambao tunajaribu kutafuta uzoefu ktk ufugaji,mie pia nimekutana na tatizo hilo la ndui kwa vifaranga ambavyo mpaka sasa wana umri wa mwezi mawili na siku kadhaa.
Nimeshindwa mpaka sasa kuchanja ndui ili nipambane na ugonjwa kwanza,Shukran napambana nao na kwa Kiasi maendeleo ni mazuri.Sasa swali la msingi doctor je ktk umri huu bado naweza kuchanja ndui na ikawa na matokeo chanya?