Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

Sawa,hiyo composional amefanyia wapi kwamfano.

Kwa muundo huo Sasa,inatakiwa TBS ishtakiwe.
Lakini vilevile mbona mashoga wengi waliojificha ni wasomi na mabosi katika ofisi kubwakubwa!πŸ€”πŸ€”πŸ€”.
Ila kihalisia Hawa mashoga njaa hata sio walevi kivile.

Basi sawa,ndo utaalamu huo niulize tu yeye ni doctor anayetibu nn hasa Sina bando la kucheki clip
 
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
Haya mambo ya hormonal imbalance ni nadra sana kutokea.....ni vle tu siku hz media zimelaitiwa na wafanyabiashara ko wana uhuru wa kusema chochote hata kama sio kwel
 
Ukweli kwa ushahidi upi?KWAMBA:-
-Mtu akiwa na homoni nyingi za kike ndiye anakunywa sana/zaidi bia? AU
-Mtu akinywa sana bia ndiyo hupata homoni nyingi za kike?Atoe maelezo yenye ushahidi anuai.

Inafahamika kisayansi:
1: Bia/pombe hupunguza uwezo wa ini kuvunjavunja homoni ya Estrogeni ambayo ni ya kike na hupatikana kwa wanaume pia.

2: Wakati huo pombe huongeza uwezo wa ini kubadili testosterone/homoni ya kiume kwenda Estrogeni/homoni ya kike.

3: Pombe husababisha utendaji wa gonads/makende kwa mwanaume kupunguza uzalishaji wa testosterone/homoni ya kiume.

4: Pombe husababisha kusinyaa kwa makende na kushindwa kutoa testosterone/ homoni ya kiume kwa kiasi cha kutosha.

NB: SUALA KUBWA NI KIASI CHA POMBE NA UWEZO WA MWILI KUHIMILI MABADILIKO NA KILA NA
SI KILA MABADILIKO CHANZO NI POMBE, YAPO MENGINE MENGI.

Sijui kwa nini watu wasiokunywa pombe wanamaneno mengi kuhusu pombe , mbona sie wanywaji wale hatuna mda na juice zenu[emoji848]
 
Ndio maana nyuzi nyingi humu ni kusema wanawake kumbe homon nyingi za kike
Tumejua
 
Ni kweli kabisa mkuu. Tunaambiwa tuwaamini kwa vile ni wataalamu, bila hata kuona hizo tafiti zimechukua mda gani.

Sijui tunatengeza wasomi wa aina gani tu.
 
unabishana na mtaalamu? wewe ni mtaalamu?

Sio Daktari yule. Daktari hawezi kuongea uongo wa namna yake kwamba kuna sehemu za mwili hazina nerves hivyo zinatumia homones? Au na wewe kilaza?
 
Haya mambo ya hormonal imbalance ni nadra sana kutokea.....ni vle tu siku hz media zimelaitiwa na wafanyabiashara ko wana uhuru wa kusema chochote hata kama sio kwel
Ni kweli mkuu, ila hawatakuelewa kwa hoja yako.
 
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
Huyu Dr muongo sana. Kwa hiyo wanawake wanaokunywa pombe wana hormones za kiume. Angesema kwamba wanaokunywa pombe wanasababisha kuwa na hormone za kike labda ningefikiria kwa undani. Lakini siyo kwa shortcut evaluation kama hizi.
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
Haya mambo ya hormonal imbalance ni nadra sana kutokea.....ni vle tu siku hz media zimelaitiwa na wafanyabiashara ko wana uhuru wa kusema chochote hata kama sio kwel
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
Sijui kwa nini watu wasiokunywa pombe wanamaneno mengi kuhusu pombe , mbona sie wanywaji wale hatuna mda na juice zenu[emoji848]
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…