Hii haiondoi ukweli wake kwamba, aliwakataa walamba asali na majizi kama nyinyiHatupotezi muda, moja ya furaha yetu ni kulitaja vibaya kila tunapokumbuka ushenzi wake.
Ht misikitini/makanisani kumtaja na kumlaani shetani ni kawaida sana
Wajinga wanaamini hiki, Endelea kuamini hiki hiki mkuu, hakuna atakayekushikia bunduki kukulazimisha kile unaaminiFact;
Tar. 9/12/1961 tulipata uhuru toka kwa mtu wapinki/zungu
Tar. 17/3/2021 tulipata uhuru toka Kwa mtu mweusi/afrika
- Ambapo wote walitesa,walipiga,walituibia,walitunyima haki,walitutisha,walitunyima uhuru wakuongea,walibagua kikabila,walipendelea kwake,walitumia Dola kukandamiza walompinga nk.
- Wote pia walijenga mareli,mashule,barabara,vyanzo vya umeme nk.
Ndomanake nawewe mwerevu amini mwendazake alikukomboa sana hakuna alokulazimisha vinginevyoWajinga wanaamini hiki, Endelea kuamini hiki hiki mkuu, hakuna atakayekushikia bunduki kukulazimisha kile unaamini
Huyo kichaa anaungua na moto hata Yesu Kristu atakapojuja tena kuhukumu wazima na wafu Magufuli hawezi kufufuka sawa na akina Hitler, Mobutu na Iddi Amini.Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa
Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais akijisahau haya majizi yanaweza kuondoka na pochi yake
Ni Magufuli pekee aliyeipandisha hadhi nchi yetu, ni yeye pekee aliyeibua miradi kedekede na isiyohesabika, miradi ya kimkakati na kuileta nchi katika uchumi wa kati mdogo! Hivi utamdanganya nani?
Ni Magufuli pekee aliyekuwa na huruma ya dhati kwa wananchi wote hasa wa chini, aliwajali na kutatua kero zao bila kuogopa wenye ukali
Ni serikali yake tu, iliyotaka kuondoa tabaka la walionacho na wasiokuwa nacho,
Wanatufanya kwamba wote tulikuwa chekechea siyo?
Halafu wasomi uchwala hao waliondika daftari Lao hilo, wote wako nje ya nchi na hawataki kurudi,
Hata hivyo, kwa nini wanaitumia nguvu nyingi kiasi hiko? Na ukichunguza zaidi, unagundua tu kwamba, miongoni mwa walioshiriki ni pamoja na waliotemwa kwenye nafasi za uteuliwa utawala wa Magufuli
Hata hivyo, mbona bado ni walewale vilaza na mafisadi?
Watu ambao wamejikusanya kuandika kitabu cha kumchafua Magufuli, ndio hao waliokuwa wakitafutwa wakihusishwa na wizi wa mali za watanzania wengi wao wakakimbilia nje ya nchi
Wasomi uchwala hao, wameandika kitabu kinachohusu serikali ya Magufuli ilivyowekeza katika mji wa Chato ambapo ni sehemu ya Tanzania.
Mantiki yao ni ipi haswa!
Hata iweje, waandike vitabu na vitabu, nyinyi wasomi uchea, tunachukua nafasi hii kuwakumbusha sisi wamachinga, wafanya biashara, wamama ntilie, wananchi wa kawaida, tunawakumbusha tu kwamba, Magufuli hawezi kuchafuliwa na yeyote kwa njia yoyote ile!
Tutaendelea kuguswa na yale ametufanyia kama nchi na wananchi!
Magufuli! Lala salama!
Kuna wajinga wachache wanadhani eti ni rahisi tusahau mema uliyotuachia!
""Na Iwe Kama Ulivyonena""Ukweli utaendelea kubaki moyoni mwako,,,Mwamba hachafuliki!!Hatupotezi muda, moja ya furaha yetu ni kulitaja vibaya kila tunapokumbuka ushenzi wake.
Ht misikitini/makanisani kumtaja na kumlaani shetani ni kawaida sana
Ubarikiwe Kwa kuwaamsha popoNimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa
Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais akijisahau haya majizi yanaweza kuondoka na pochi yake
Ni Magufuli pekee aliyeipandisha hadhi nchi yetu, ni yeye pekee aliyeibua miradi kedekede na isiyohesabika, miradi ya kimkakati na kuileta nchi katika uchumi wa kati mdogo! Hivi utamdanganya nani?
Ni Magufuli pekee aliyekuwa na huruma ya dhati kwa wananchi wote hasa wa chini, aliwajali na kutatua kero zao bila kuogopa wenye ukali
Ni serikali yake tu, iliyotaka kuondoa tabaka la walionacho na wasiokuwa nacho,
Wanatufanya kwamba wote tulikuwa chekechea siyo?
Halafu wasomi uchwala hao waliondika daftari Lao hilo, wote wako nje ya nchi na hawataki kurudi,
Hata hivyo, kwa nini wanaitumia nguvu nyingi kiasi hiko? Na ukichunguza zaidi, unagundua tu kwamba, miongoni mwa walioshiriki ni pamoja na waliotemwa kwenye nafasi za uteuliwa utawala wa Magufuli
Hata hivyo, mbona bado ni walewale vilaza na mafisadi?
Watu ambao wamejikusanya kuandika kitabu cha kumchafua Magufuli, ndio hao waliokuwa wakitafutwa wakihusishwa na wizi wa mali za watanzania wengi wao wakakimbilia nje ya nchi
Wasomi uchwala hao, wameandika kitabu kinachohusu serikali ya Magufuli ilivyowekeza katika mji wa Chato ambapo ni sehemu ya Tanzania.
Mantiki yao ni ipi haswa!
Hata iweje, waandike vitabu na vitabu, nyinyi wasomi uchea, tunachukua nafasi hii kuwakumbusha sisi wamachinga, wafanya biashara, wamama ntilie, wananchi wa kawaida, tunawakumbusha tu kwamba, Magufuli hawezi kuchafuliwa na yeyote kwa njia yoyote ile!
Tutaendelea kuguswa na yale ametufanyia kama nchi na wananchi!
Magufuli! Lala salama!
Kuna wajinga wachache wanadhani eti ni rahisi tusahau mema uliyotuachia!
Alitukataa!?Hii haiondoi ukweli wake kwamba, aliwakataa walamba asali na majizi kama nyinyi
Suala la kufa ndo unalisherehekea?Alitukataa!?
Kiko wapi sasa.
Kafa na roho mbaya yake katuachia asali yetu twala kwa raha zetu huku tukiling'ong'a shetani lile na wafuasi wake waabudia kaburi
Hachafuki mara mbili.""Na Iwe Kama Ulivyonena""Ukweli utaendelea kubaki moyoni mwako,,,Mwamba hachafuliki!!
Usiingilie uhuru wa watu. Hata wewe na genge lenu mpo huru kuandika yale mnayoona mazuri.Yani hii nchi ina vijana wa hovyo kabisa yani watu wanakaa wanawaza kuandika mabaya tu ya marehemu kweli.wanaongozwa na mtumishi wa mungu kweli hio ni akili ya kimatope.ukitafakari wao wamefanya nini kuanzia kwenye familia zao huko na majumbani mwao wamefanya nini.
Bahati mbaya kabisa huna unachoweza kuelezea kwa nini upo mpaka sasa!Hachafuki mara mbili.
All in all ni furaha iso kifani kuendelea na maisha yetu bila ya yule shetani muovu
Ndo ujue jitu lilituumiza sana.Suala la kufa ndo unalisherehekea?
Sawa mkuu!
Haijalishi, lilo muhimu kwangu sasa hv sina tena hofu ya kujutana na Jinamizi lileBahati mbaya kabisa huna unachoweza kuelezea kwa nini upo mpaka sasa!
SukumaKabila gani?