Mtaandika vitabu na vitabu, ila hamtaweza kubadili chochote juu ya Hayati Magufuli

Mtaandika vitabu na vitabu, ila hamtaweza kubadili chochote juu ya Hayati Magufuli

Alivunja uhusiano na nchi ipi? Ukiambiwa utoe mifano utaanza matusi.
Kipindi cha jpm ndiyo World bank iliitaja tanzania kufikia uchumi wa kati, wewe unazungumzia uhusiano upi? Hakuna mradi wa EU uliositishwa wala kupunguziwa pesa. Sana sana kwa akili yako ndogo utasema "vifaranga vilichomwa moto"
Samia amefanya kazi kubwa kurudisha uhusiano wetu na nchi nyingi duniani ikiwemo Kenya.
 
Kuanza kwa mchakato wa Katiba mpya ni sababu haswa ya JPM.

Juzi nimepita pale Buzirayombo nikaona jinsi ule mnada wa Kimataifa ulivyobakia kuwa jumba la makazi ya popo.
CCM hawakutaka kabisa kusikia katiba mpya... Lakini katiba inazungumzwa na CCM wenyewe kwa sasa baada ya mtu mmoja kujimilikisha nchi yote kwa maamuzi yake mwenyewe..
CCM wameona hatari huko tuendako bila kurekebisha katiba au kuleta katiba mpya
 
Alitumia fedha hovyo hovyo kwenye miradi inayoleta hasara kila kukicha kama vile mradi wa ATCL tunapata hasara ya mabilioni kila siku.
Wewe ni mjinga kuzidi wajinga?

Hasara ya kila siku na serikali ipo? Labuda nikuulize, ni shirika lipi kwa sasa linaleta faida ambalo mmelianzisha wenyewe?

Kwa nini mnaiba bajeti nzima ya serikali?

Ndicho mlikuwa mmekikosa?
 
H
Alitumia fedha hovyo hovyo kwenye miradi inayoleta hasara kila kukicha kama vile mradi wa ATCL tunapata hasara ya mabilioni kila siku.
Hiyo ATCL haikuwepo kipindi Chake?
 
Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa

Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais akijisahau haya majizi yanaweza kuondoka na pochi yake

Ni Magufuli pekee aliyeipandisha hadhi nchi yetu, ni yeye pekee aliyeibua miradi kedekede na isiyohesabika, miradi ya kimkakati na kuileta nchi katika uchumi wa kati mdogo! Hivi utamdanganya nani?

Ni Magufuli pekee aliyekuwa na huruma ya dhati kwa wananchi wote hasa wa chini, aliwajali na kutatua kero zao bila kuogopa wenye ukali

Ni serikali yake tu, iliyotaka kuondoa tabaka la walionacho na wasiokuwa nacho,
Wanatufanya kwamba wote tulikuwa chekechea siyo?

Halafu wasomi uchwala hao waliondika daftari Lao hilo, wote wako nje ya nchi na hawataki kurudi,

Hata hivyo, kwa nini wanaitumia nguvu nyingi kiasi hiko? Na ukichunguza zaidi, unagundua tu kwamba, miongoni mwa walioshiriki ni pamoja na waliotemwa kwenye nafasi za uteuliwa utawala wa Magufuli

Hata hivyo, mbona bado ni walewale vilaza na mafisadi?

Watu ambao wamejikusanya kuandika kitabu cha kumchafua Magufuli, ndio hao waliokuwa wakitafutwa wakihusishwa na wizi wa mali za watanzania wengi wao wakakimbilia nje ya nchi

Wasomi uchwala hao, wameandika kitabu kinachohusu serikali ya Magufuli ilivyowekeza katika mji wa Chato ambapo ni sehemu ya Tanzania.

Mantiki yao ni ipi haswa!

Hata iweje, waandike vitabu na vitabu, nyinyi wasomi uchea, tunachukua nafasi hii kuwakumbusha sisi wamachinga, wafanya biashara, wamama ntilie, wananchi wa kawaida, tunawakumbusha tu kwamba, Magufuli hawezi kuchafuliwa na yeyote kwa njia yoyote ile!

Tutaendelea kuguswa na yale ametufanyia kama nchi na wananchi!

Magufuli! Lala salama!

Kuna wajinga wachache wanadhani eti ni rahisi tusahau mema uliyotuachia!
Umeandika hivi "Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaake"
1681538351607.png

1681538506662.png

hii ni sura ya Idd Amini akiwa kijana! Hivyo usiwe tunawasikiliza sana wanaomcbukia mtu. Idd Amini hakuwa na sura mbaya hata kidogo. Ni hao hao wanao kataa mazuri aliyo fanya Raisi JPM. Mtindo huo huo waliotumia kuonyesha kwamba Idd Amin ni monster na ana sura mbaya na pia anakula nyama ya watu. Hivyo hivyo wataanza kumpakazia JPM! Je! Idd Amin alikuwa na sura mbaya?
 
Wewe ni mjinga kuzidi wajinga?

Hasara ya kila siku na serikali ipo? Labuda nikuulize, ni shirika lipi kwa sasa linaleta faida ambalo mmelianzisha wenyewe?

Kwa nini mnaiba bajeti nzima ya serikali?

Ndicho mlikuwa mmekikosa?
Tunazungumzia hasara za ATCL tangu akiwepo na alifanya juhudi kubwa sana kumzuia CAG aliyekuwepo asitoe taarifa za kweli na hata kumfuta kazi kinyemela! JPM ameirudisha nchi nyuma kwa mambo mengi ila wajinga hawataweza kuelewa hilo.
 
Furaha yetu kubwa ni kwamba lile shetani lenu la Chattle lilishakufilia zake mbali.
Nyie mteteeni muwezavyo hamtoondoa furaha yetu hiyo kuu.
Sasa hv tuna uwezo wa kuliandika tupendavyo kwa uhuru na kwa raha zetu wenyewe.
Mkiona inauma sana mkazikwe naye
Furaha yenu wewe na nani?

Naona bei ya sembe imekutoa akili kabisa
 
Sasa mtu kama bagonza shogaake lisu atatwambia nini?
 
Mungu wetu ni fundi sana kulitowesha lile subiani kwenye uso wa dunia,wacha lichomwe moto huko jehanam iwe fundisho kwa wapuuzi wengine wenye akili chafu kama alivyokuwa
Mbona ccm inakubaka kila siku na mungu wako haoneshi ufundi wake?

Una mavi kichwani
 
Back
Top Bottom