Mtaandika vitabu na vitabu, ila hamtaweza kubadili chochote juu ya Hayati Magufuli

Samia amefanya kazi kubwa kurudisha uhusiano wetu na nchi nyingi duniani ikiwemo Kenya.
 
Saint Magufuli utuombeee....... Chapa radi vibaka hao
 
Kuanza kwa mchakato wa Katiba mpya ni sababu haswa ya JPM.

Juzi nimepita pale Buzirayombo nikaona jinsi ule mnada wa Kimataifa ulivyobakia kuwa jumba la makazi ya popo.
CCM hawakutaka kabisa kusikia katiba mpya... Lakini katiba inazungumzwa na CCM wenyewe kwa sasa baada ya mtu mmoja kujimilikisha nchi yote kwa maamuzi yake mwenyewe..
CCM wameona hatari huko tuendako bila kurekebisha katiba au kuleta katiba mpya
 
Alitumia fedha hovyo hovyo kwenye miradi inayoleta hasara kila kukicha kama vile mradi wa ATCL tunapata hasara ya mabilioni kila siku.
Wewe ni mjinga kuzidi wajinga?

Hasara ya kila siku na serikali ipo? Labuda nikuulize, ni shirika lipi kwa sasa linaleta faida ambalo mmelianzisha wenyewe?

Kwa nini mnaiba bajeti nzima ya serikali?

Ndicho mlikuwa mmekikosa?
 
H
Alitumia fedha hovyo hovyo kwenye miradi inayoleta hasara kila kukicha kama vile mradi wa ATCL tunapata hasara ya mabilioni kila siku.
Hiyo ATCL haikuwepo kipindi Chake?
 
Umeandika hivi "Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaake"


hii ni sura ya Idd Amini akiwa kijana! Hivyo usiwe tunawasikiliza sana wanaomcbukia mtu. Idd Amini hakuwa na sura mbaya hata kidogo. Ni hao hao wanao kataa mazuri aliyo fanya Raisi JPM. Mtindo huo huo waliotumia kuonyesha kwamba Idd Amin ni monster na ana sura mbaya na pia anakula nyama ya watu. Hivyo hivyo wataanza kumpakazia JPM! Je! Idd Amin alikuwa na sura mbaya?
 
Wewe ni mjinga kuzidi wajinga?

Hasara ya kila siku na serikali ipo? Labuda nikuulize, ni shirika lipi kwa sasa linaleta faida ambalo mmelianzisha wenyewe?

Kwa nini mnaiba bajeti nzima ya serikali?

Ndicho mlikuwa mmekikosa?
Tunazungumzia hasara za ATCL tangu akiwepo na alifanya juhudi kubwa sana kumzuia CAG aliyekuwepo asitoe taarifa za kweli na hata kumfuta kazi kinyemela! JPM ameirudisha nchi nyuma kwa mambo mengi ila wajinga hawataweza kuelewa hilo.
 
Furaha yenu wewe na nani?

Naona bei ya sembe imekutoa akili kabisa
 
Sasa mtu kama bagonza shogaake lisu atatwambia nini?
 
Mungu wetu ni fundi sana kulitowesha lile subiani kwenye uso wa dunia,wacha lichomwe moto huko jehanam iwe fundisho kwa wapuuzi wengine wenye akili chafu kama alivyokuwa
Mbona ccm inakubaka kila siku na mungu wako haoneshi ufundi wake?

Una mavi kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…