Mtaani kwenu kuna Tahadhari dhidi ya CoronaViruses?

Corona ipo Tena Sana usijiongopee kinachotokea Ni baadhi ya watu kuwa imara na Kinga but kwingine Hali Ni mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mitandoni watu hukuza sana baadhi ya mambo kwa sababu tofauti tofauti.

Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama utatokea mitandaoni, na uongo utabaki kuwa uongo hata kama utatokea ikulu.
 
Hao Chadema wanapenda watu wafe Mkuu ili wapate cha kuwadekea Mabeberu
Bia Yetu mke wangu nilishakwambia uache mihemko,, yule jirani yetu pale ile nyumba nyeupe si amekufa kwa Corona yule, sasa unadanganya kwa faida ya nani?
 
Acha kupotosha watu wewe.Huenda Ni kweli huko kitaani hakuna balli Wapo wenye virusi hata Us inayoongoza Kuna sehemu kupo shwari Ila kuba sehemu kumelipuka Kama unabisha tembelea Makaburi usiku .Then Rudi hapa kusema au ulizia wauza vitu kuzunguka Makaburi watakwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali Mana ulikuwa kabishiiiii[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naamini Corona ipo, Ila huenda Corona ya Tanzania ikawa haina nguvu kama huko tunakokuona kwenye luninga na mitandaoni,

Ingelikuwa ni Kali kama huko, hapa JF lazima kungelikuwa na Baadhi ya ID nyingi tu ambazo hazioneshi uhai wake, kinachonishangaza na kuanza kuamini kwamba Corona ya Tanzania imefubazwa na maombi ni pale kila mtu hapa anaulizia idadi ya waathirika bila ya yeye kuwa miongoni mwao
 
Kweli kabisa pia jiulize wangapi Wana Ukimwi mtaani wote wamekufa au anawajua? Kuwa na ugonjwa haimaanishi unakufa au vp.Au utawajua Corona ipo na watu wanakufa.ni suala la Kinga imara.Ukiwa na kinga dhaifu corona inakubeba mzimamzima Mana ndani yako Hauna Kinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaa unaoishi halo ilivyo ipoje? Mtaani kwetu unaweza kujua hakuna ugonjwa huu kabisa.
Mtaani kwangu kuna Bar, ina jaza wanywaji, wanalewa na hawana hata chembe ya tahadhari. Utaona hapo nje wasichana wanaouza pombe wanavyosogeleana na walevi kana kwamba corona ina Dawa vile !!!
Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…