Mtaani kwenu kuna Tahadhari dhidi ya CoronaViruses?

Mtaani kwenu kuna Tahadhari dhidi ya CoronaViruses?

Tanzania kila kitu hewa, Corona hewa, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa,

Corona imebakia jina Tu Tanzania, Huku kwetu kila ninayekutana naye, anaulizia tu, hivi wamefika wangapi? Sasa endapo kila mtu atakuwa anauliza wamefika wangapi, unagundua kabisa hii Corona haipo, kama ingelikuwepo, basi hata hao wanaouliza watu kufika wangapi wangekuwa nao wanaugulia!

Corona hewa
Corona ipo Tena Sana usijiongopee kinachotokea Ni baadhi ya watu kuwa imara na Kinga but kwingine Hali Ni mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mitandoni watu hukuza sana baadhi ya mambo kwa sababu tofauti tofauti.

Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli hata kama utatokea mitandaoni, na uongo utabaki kuwa uongo hata kama utatokea ikulu.
 
Hao Chadema wanapenda watu wafe Mkuu ili wapate cha kuwadekea Mabeberu
Bia Yetu mke wangu nilishakwambia uache mihemko,, yule jirani yetu pale ile nyumba nyeupe si amekufa kwa Corona yule, sasa unadanganya kwa faida ya nani?
 
Mkuu, Corona ipo yamkini, Mimi nimezungumzia huku kwetu, sjaona na nimesema nistake kuona kabisa Kwa sababu jinsi ninavyoona huko Kwa wenzetu, inatisha na pengine hata hapa hizi ID zetu nyingine zingekuwa hazichangii chochote hapa, sababu watu wenye ID hizo wangekuwa washakufa ama wako ICU

Wewe mwenyewe chunguza Tu hapa utajionea mwenyewe, Karibu ID zote ziko hai, Je kuna Corona kweli?

Mimi sikatai kuwa haipo, Ila huenda Corona ya Tanzania inatofauti na Corona za huko
Acha kupotosha watu wewe.Huenda Ni kweli huko kitaani hakuna balli Wapo wenye virusi hata Us inayoongoza Kuna sehemu kupo shwari Ila kuba sehemu kumelipuka Kama unabisha tembelea Makaburi usiku .Then Rudi hapa kusema au ulizia wauza vitu kuzunguka Makaburi watakwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali Mana ulikuwa kabishiiiii[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naamini Corona ipo, Ila huenda Corona ya Tanzania ikawa haina nguvu kama huko tunakokuona kwenye luninga na mitandaoni,

Ingelikuwa ni Kali kama huko, hapa JF lazima kungelikuwa na Baadhi ya ID nyingi tu ambazo hazioneshi uhai wake, kinachonishangaza na kuanza kuamini kwamba Corona ya Tanzania imefubazwa na maombi ni pale kila mtu hapa anaulizia idadi ya waathirika bila ya yeye kuwa miongoni mwao
 
Whether iko mtaani kwetu au la sio issue ,issue ni kujikinga na ugonjwa unaweza ikawa wewe ukawa chanzo cha kuleta mtaani.Mtaani kwenu inawezekana mna population ya watu 2000 na kwa sasa kama maambukizi Dar ni watu 120 kwenye population ya 6m ya wana Dar ni kidogo ila kwa sababu hatufanyi mass testing kuna watu wana maambukizi ila hawaumwi na wengine hawataonyesha dalili hata kidogo
Kweli kabisa pia jiulize wangapi Wana Ukimwi mtaani wote wamekufa au anawajua? Kuwa na ugonjwa haimaanishi unakufa au vp.Au utawajua Corona ipo na watu wanakufa.ni suala la Kinga imara.Ukiwa na kinga dhaifu corona inakubeba mzimamzima Mana ndani yako Hauna Kinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaa unaoishi halo ilivyo ipoje? Mtaani kwetu unaweza kujua hakuna ugonjwa huu kabisa.
Mtaani kwangu kuna Bar, ina jaza wanywaji, wanalewa na hawana hata chembe ya tahadhari. Utaona hapo nje wasichana wanaouza pombe wanavyosogeleana na walevi kana kwamba corona ina Dawa vile !!!
Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom