Mtaani vijana wanaharibika kwa ulevi

Sio Tz tu hata Marekani. Jionee mwenyewe madogo tu washakuwa mateja

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo wewe ni mzee kwa hiyo miaka uliyo taja ....mzee ni mwenye miaka 70 kuja juu.
 
Vijana lazima wachanganyikiwe coz Dola (the state)iliruhusu ujinga huu;-

1.msomi atumie miaka 17 Hadi kuhitim akipata kazi mshahara wake ni sawa na Posho ya kikao Cha masaa matatu ya mbunge Bungeni!

Msomi huyu anakosa ajira Wakati mbunge mmoja analipwa mill 13 Hadi 18 Kwa mwezi badala ya kupunguza wage bill ya kulipa mishahara wanasiasa na kuipeleka kwenye ajira kuchochea uchumi was nchi!!

2.siasa ndio iwe kazi yenye malipo makubwa sana kuliko usomi na utafiti plus uprofesa Hadi maprofesa wanahisi wapo jalalani huko vyuoni na kukimbilia siasa!!

Dola inalinda uhalifu na ubadhirifu was wanasiasa badala ya kulinda mstakabali na kesho plus hatma ya kizazi kijacho!!!

Lazima vijana wachanganyikiwe!!
 
hahaha endapo watu kama hapo ukiwapa ushauri anakuona mjinga ila dawa yake mweche ale sitalee akimaliza mfwate
 
Aisee
 
Miaka 42 akiwa mzee je wa miaka 72 atakjiita nani?

Kama 42 akiwa mzee basi si ajabu mtu wa miaka 20 kujikatia tamaa maana anajiona
yupo half way ya kufika uzeeni na ramani ya maisha wala haieleweki.
 
Kuka ndio kinywaji gani ndugu? Una picha yake?
 
Hii ni laana juu ya nchi. Na ingekuwa nafuu kama wanaopaswa kuact ni Watawa na mapadre kwamba hawajazaa ilah bht mby nao wana watoto. Na hata kama wanaaaona wako safi hakuna ajuaye kesho ukizingatia kutojali na kutotimiza wajibu.
 
Hii ni vita kubwa sana.. Ni kubwa kuliko inavyoonekana.. Hii ni vita ya kiroho na kimwili.. Jinsia ya kiume ipo katika shambulio.. Serikali inamshambulia mwanaume.. Shetani anamshambulia mwanaume.. Hata mwanamke naye anamshambulia mwanaume.. Mtoto wa kiume ameachwa katika huruma ya ulimwengu ambao hauna huruma.. Tumponye vipi huyu kijana wa kiume.. Kazi hii ianzie katika familia.. Tunatakiwa kuwa na familia imara zitakazohakikisha malezi Bora ya vijana wetu.. Familia Bora zinahitaji baba bora.. Tujenge familia Bora kabla ya kuangalia jukumu la serikali kwa vijana wetu..
 
Hata lishe hawapati virutubisho bora hayo malezi yataingilia wapi? Kijana ili aweze kujithamini na kuthamini jamii yake ni lazima apate lishe. Mtu mwenye utapia mlo hawezi kuwa na upeo wala kujithamini.
 
Hata lishe hawapati virutubisho bora hayo malezi yataingilia wapi? Kijana ili aweze kujithamini na kuthamini jamii yake ni lazima apate lishe. Mtu mwenye utapia mlo hawezi kuwa na upeo wala kujithamini.
Suala la lishe linaanzia katika ngazi ya familia.. Tangu utoto mtu anatakiwa afundishwe umuhimu wa lishe Bora na aina za vyakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…