Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Sio Tz tu hata Marekani. Jionee mwenyewe madogo tu washakuwa mateja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe ni mzee kwa hiyo miaka uliyo taja ....mzee ni mwenye miaka 70 kuja juu.Mimi ni.mzee wa miala 42 ila huwa kujichanganya, hapa nipo kijiwe hapa Dsm, aisee hatima ya vijana.....vijana wamechoka mbaya bora sisi wazee wa kati ( 40 - 55)
Kijana wa miaka 20 sura imepinda ...ni nini hiki? Taifa hili tusipokiwa makini nguvu kazi hii inakwenda kupotea.
Wadau wenzangu na nyie fanyeni utafiti huko mliko lakini kama hali ndo hii hatuna Taifa...tunakwendaje kujenga nchi na mateja?
Yaani hapa ni kuka, konyangi za kolabo vijana wa kike wa kuume, yaani kuna umoja wa ajabu, afu cha ajabu na mie washaniona teja mwenzao...napewa kuka ila aisee kuka ni kifo cha figo zako.
Hali ni mbaya.
Ni mimi mpiga sumari ..
hahaha endapo watu kama hapo ukiwapa ushauri anakuona mjinga ila dawa yake mweche ale sitalee akimaliza mfwateMimi ni mzee wa miala 42 ila huwa kujichanganya, hapa nipo kijiwe hapa Dsm, aisee hatima ya vijana. Vijana wamechoka mbaya bora sisi wazee wa kati ( 40 - 55).
Kijana wa miaka 20 sura imepinda ni nini hiki? Taifa hili tusipokiwa makini nguvu kazi hii inakwenda kupotea.
Wadau wenzangu na nyie fanyeni utafiti huko mliko lakini kama hali ndo hii hatuna Taifa, tunakwendaje kujenga nchi na mateja?
Yaani hapa ni kuka, konyangi za kolabo vijana wa kike wa kuume, yaani kuna umoja wa ajabu, afu cha ajabu na mie washaniona teja mwenzao...napewa kuka ila aisee kuka ni kifo cha figo zako.
Hali ni mbaya.
Ni mimi mpiga sumari ..
AiseeMwaka jana nilikwenda kumsalimia bi mkubwa wangu kitaani kwetu Tmk, sasa napiga misele nasikia vibinti vya shule age 15-17, vinamsema mwenzao ni mshamba kisa hampi boyfriend wake tigo, nilichoka mno, hao boyfriend wao wenyewe ndio wale madogo waliosokota nywele jioni wanaimbisha singeli kwenye vigodoro.
Wanawake wanalewa Sana siku hizi,yatisha mtu mke kulewaHao wa kike kudanga kama hawana akili nzuri.
Miaka 42 akiwa mzee je wa miaka 72 atakjiita nani?Mimi ni mzee wa miala 42 ila huwa kujichanganya, hapa nipo kijiwe hapa Dsm, aisee hatima ya vijana. Vijana wamechoka mbaya bora sisi wazee wa kati ( 40 - 55).
Kijana wa miaka 20 sura imepinda ni nini hiki? Taifa hili tusipokiwa makini nguvu kazi hii inakwenda kupotea.
Wadau wenzangu na nyie fanyeni utafiti huko mliko lakini kama hali ndo hii hatuna Taifa, tunakwendaje kujenga nchi na mateja?
Yaani hapa ni kuka, konyangi za kolabo vijana wa kike wa kuume, yaani kuna umoja wa ajabu, afu cha ajabu na mie washaniona teja mwenzao...napewa kuka ila aisee kuka ni kifo cha figo zako.
Hali ni mbaya.
Ni mimi mpiga sumari ..
Duu jamani baada ya miaka 10 itakuwaje!Hao wa kike kudanga kama hawana akili nzuri.
Kuka ndio kinywaji gani ndugu? Una picha yake?Mimi ni mzee wa miala 42 ila huwa kujichanganya, hapa nipo kijiwe hapa Dsm, aisee hatima ya vijana. Vijana wamechoka mbaya bora sisi wazee wa kati ( 40 - 55).
Kijana wa miaka 20 sura imepinda ni nini hiki? Taifa hili tusipokiwa makini nguvu kazi hii inakwenda kupotea.
Wadau wenzangu na nyie fanyeni utafiti huko mliko lakini kama hali ndo hii hatuna Taifa, tunakwendaje kujenga nchi na mateja?
Yaani hapa ni kuka, konyangi za kolabo vijana wa kike wa kuume, yaani kuna umoja wa ajabu, afu cha ajabu na mie washaniona teja mwenzao...napewa kuka ila aisee kuka ni kifo cha figo zako.
Hali ni mbaya.
Ni mimi mpiga sumari ..
Hii ni vita kubwa sana.. Ni kubwa kuliko inavyoonekana.. Hii ni vita ya kiroho na kimwili.. Jinsia ya kiume ipo katika shambulio.. Serikali inamshambulia mwanaume.. Shetani anamshambulia mwanaume.. Hata mwanamke naye anamshambulia mwanaume.. Mtoto wa kiume ameachwa katika huruma ya ulimwengu ambao hauna huruma.. Tumponye vipi huyu kijana wa kiume.. Kazi hii ianzie katika familia.. Tunatakiwa kuwa na familia imara zitakazohakikisha malezi Bora ya vijana wetu.. Familia Bora zinahitaji baba bora.. Tujenge familia Bora kabla ya kuangalia jukumu la serikali kwa vijana wetu..
Suala la lishe linaanzia katika ngazi ya familia.. Tangu utoto mtu anatakiwa afundishwe umuhimu wa lishe Bora na aina za vyakulaHata lishe hawapati virutubisho bora hayo malezi yataingilia wapi? Kijana ili aweze kujithamini na kuthamini jamii yake ni lazima apate lishe. Mtu mwenye utapia mlo hawezi kuwa na upeo wala kujithamini.