1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
@BILGERT ni mtu ambaye anajipenda yeye kwanza, mwenye ndoto ya kuwa tajiri siku za mbeleni,, hatumii tecno,, wasichana kwake ni kama chombo cha starehe,, bado hajaoa,,Mmoja anitabirie tafadhari...akipatia hata asilimia 20 kuhusu mimi,ntatoa ka ofa ka vocha ya buku 5.
ohooo ngoja niwafungulie uziSisi tusiomjua mtu humu tunacomment wapi??
😂😂😂😂ule mkokoteni eeeUkipita mitaa ile usiache kunipa lift na ile ist yako
Uzi wa sisi tusiomjua mtu ili tucomment??ohooo ngoja niwafungulie uzi
yaaapUzi wa sisi tusiomjua mtu ili tucomment??
[emoji41][emoji41][emoji41]Daaah
Huo huo. Yaani ndinga zuri vile unaita mkokoteni?? Ama kweli mwenye nacho hamjui asienacho😂😂😂😂ule mkokoteni eee
Mkuu umejitahid angalau kwa asilimia 10,isipo kuwa hapo kwenye kuwafanya wasichana chombo cha starehe.@BILGERT ni mtu ambaye anajipenda yeye kwanza, mwenye ndoto ya kuwa tajiri siku za mbeleni,, hatumii tecno,, wasichana kwake ni kama chombo cha starehe,, bado hajaoa,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiufungua ni-tag please ili ni-commentyaaap
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Ngoja na mm nibahatishe labda ntapata vocha una miaka 26+Mkuu umejitahid angalau kwa asilimia 10,isipo kuwa hapo kwenye kuwafanya wasichana chombo cha starehe.
Unatumia mtandao gani mkuu,ili kufikia asubuhi nikutimizie japo nusu ya ahadi.. maana hujafikisha asilimia 20
Poa poaUkiufungua ni-tag please ili ni-comment
Naona unanitukana sasaHuo huo. Yaani ndinga zuri vile unaita mkokoteni?? Ama kweli mwenye nacho hamjui asienacho
We kizee nakuona umejaa kwenye uzi wa watu leo kama wako vilee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mmmhhh ! Nawezaje Mimi???Naona unanitukana sasa
Si ndo kama hivyo unakandia toroli languMmmhhh ! Nawezaje Mimi???