Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Tangu nitume picha sijapata PM hata moja ya mrembo, munaochafua hewa hapa sio poa kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana kujipost kote..ulifikir watakushobokea docta wa mifugo
 
Ngoja na mm nibahatishe labda ntapata vocha una miaka 26+
Unaitwa D
Ulitendwa na mwalimu yuko mbeya
Una ndoto za kua tajiri

Nasubir vocha yangu[emoji12]
Upo sahihi kwa asilimia 10, umejitahid ingawa umecopy kwenye ule uzi..

Tafadhari niambie unatumia mtandao gani, ili Asubuh nikutumie vocha japo nusu ya ahadi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana kujipost kote..ulifikir watakushobokea docta wa mifugo
Hahahahahaaaa.

Ukome kabisa wewe, najua wewe ndio umesambaza uzushi huko kwenye PM zao.

Utanikumbuka wewe mbibi....
 
Hahahahahaaaa.

Ukome kabisa wewe, najua wewe ndio umesambaza uzushi huko kwenye PM zao.

Utanikumbuka wewe mbibi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mbabu me sihusiki na hizo kashfa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…