Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa uzoefu wangu wa ku unfold id za watu. Nakubaliana na walio sema mwanzo.
Wee jamaa ni mtu wa mikaba na suruli za vitamba...

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Kwa uzoefu wangu wa ku unfold id za watu. Nakubaliana na walio sema mwanzo.
Wee jamaa ni mtu wa mikaba na suruli za vitamba...

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Suruali ya kitambaa ninayo moja tu kwa sasa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndugu mjumbe, kwa hili iniangusha sana, maana naamiwa uli angusha kilio hata mwenye msiba akasome......tehteehh [emoji12] [emoji12]
 
Ndugu mjumbe, kwa hili iniangusha sana, maana naamiwa uli angusha kilio hata mwenye msiba akasome......tehteehh [emoji12] [emoji12]
Mdomo wangu umebaki wazi mh mjumbe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…