Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mama yetu Faiza ni Muarabu.
Lugha mama yangu ni Kiswahili kwa hiyo sina qualification ya Uarabu. Binafsi nnaamini Uarabu ni lugha, siyo rangi, siyo kabila, siyo dini, siyo taifa, siyo bara (kontinenti).

Ustaarabu ninao kama ilivyo kwa Watanzania wengi tu (au wote?) Maana kinyume cha ustaarabu ni ushenzi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Mkuu kuna ajali huku unaikumbuka...??.


Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mnajimu na mpenda uchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marahaba kwa niaba yake
 
@FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.
Umesahau sifa moja ya FaizaFoxy kuwa anamiliki bahasha yenye nyaraka za taraka, kwani aliolewa na kuachika mara sita kipindi hajawa kikongwe.
Kwamba FaizaFoxy Hafai hata kulumangia na Kachumbari?

Mmemuonea kigoli huyu, sifa hizo sio zake! Ni binti mdogo miaka 24 kamaliza chuo mwaka jana, alikuwa anaishi Mabibo hostel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…