Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Kwamba mtaalamu ni kama Lemutuz auMshana Jr - huyu ni kati ya 55-65 kibonge hivi,anapenda mashati sana huyu jamaa,hapendi kufunga nywele huyu,ni muajiriwa falni hivi ambae anasubiri kwa hamu pensheni yake,sio mpinzani saana wa bwana mkubwaa,akitaka kumzungumzia mkuu anakuwa makini sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app