Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Sibonike huyu hana maneno mengi, Kazi zake binafsi ndo zinasukuma maisha yake, yuko sawa kiuhalisia

Na yupo kamati ya ufundi ya Yanga SC[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hakuna vitu hivyo Yanga. Hayo ni ya kwenu Simba.
Kamati kubwa ya ufundi ipo Simba ili wale hela za Mo. Siku akigoma wataanzisha zengwe.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23] Nyumbani huonekani kabisa
 
Back
Top Bottom