Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani matunguli bado yana nguvu mkuu, mbona chamdeko kashachomoka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]No please he is below 30
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee mbibi ebu niache huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unarudi lini jijini..,??
Halafu sina hata baiskeli ya mbao[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafanyaje tena huyo famous wa kigoma?Nitatoa zawaidi kwa atakae toa maelezo ya kijana aise
Huyu dogo hata akina Maxence Melo wamemchunguza wamemshindwa sijui tumuite Anonymous au Ghost
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Katoka Kigoma kaenda Bagamoyo.Kafanyaje tena huyo famous wa kigoma?
Umependezaaa ulivyonyoa😎😎[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu ofisini kwangu kesho uje ushuhudie hicho unachokisema[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umependezaaa ulivyonyoa[emoji41][emoji41]
Hahaha na unavyopenda ofisini,.ntakuja tuu,direction maybe🤓Karibu ofisini kwangu kesho uje ushuhudie hicho unachokisema[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ofisi utoe wap we kizee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]Karibu ofisini kwangu kesho uje ushuhudie hicho unachokisema[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni hapa hapa tu mjini.Hahaha na unavyopenda ofisini,.ntakuja tuu,direction maybe[emoji851]
Kwangu nakupa 98%Naanza
Madame B -huyu ni kati ya 28-35 mchakarikaji hapendi kuajiriwa ajiriwa,huyu suruali anavaa sana
Mzigua90 - huyu ni kati ya 25 - 29 huyu ni muajiriwa wa kampuni binafsi,anajipenda sana some times anatoka na baibui,some times kiujana zaidi
Miss Natafuta - huyu ni 28- 34 huyu atakuwa anapewa shavu na mwanaume flani na kadata kweli kweli na kampa mtaji bibiye na kujiajiri,huyu dada kwa mawigi balaa
Mwifwa - hili jembe ni kati ya 30 -35 na ni mtu wa ofisi sana anapenda kuchomekea na kuwa smart na suruali za vitambaa,hapendi nywele kubwa
chaliifrancisco - huyu ni kati ya 22 -26 ni mshkaji yupo kitaa anapiga madili ,ni mtu wa jeans sana na raba alafu anapenda kufuga nywele.
FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.
Endeleeaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakuja kwa huduma ya kwanza,.😊😊Ni hapa hapa tu mjini.
Karibu sana uje upate huduma iliyo bora zaidi
Wee mbibi tusiharibiane tafadhali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ofisi utoe wap we kizee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
Ofisi utoe wap we kizee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
Karibuni sanaNtakuja kwa huduma ya kwanza,.[emoji4][emoji4]
hadi Mimi hapo kwa bibi nimecheka sana hasa kwenye kusuka mangongoFaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.
Endeleeaaa
hahaha kwa FF nimecheka sana eti...anasuka mangongo
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅Nitatoa zawaidi kwa atakae toa maelezo ya kijana aise
Huyu dogo hata akina Maxence Melo wamemchunguza wamemshindwa sijui tumuite Anonymous au Ghost