Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Naanza

Madame B -huyu ni kati ya 28-35 mchakarikaji hapendi kuajiriwa ajiriwa,huyu suruali anavaa sana

Mzigua90 - huyu ni kati ya 25 - 29 huyu ni muajiriwa wa kampuni binafsi,anajipenda sana some times anatoka na baibui,some times kiujana zaidi

Miss Natafuta - huyu ni 28- 34 huyu atakuwa anapewa shavu na mwanaume flani na kadata kweli kweli na kampa mtaji bibiye na kujiajiri,huyu dada kwa mawigi balaa

Mwifwa - hili jembe ni kati ya 30 -35 na ni mtu wa ofisi sana anapenda kuchomekea na kuwa smart na suruali za vitambaa,hapendi nywele kubwa

chaliifrancisco - huyu ni kati ya 22 -26 ni mshkaji yupo kitaa anapiga madili ,ni mtu wa jeans sana na raba alafu anapenda kufuga nywele.

FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.

Endeleeaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu nakupa 98%
 
Ofisi utoe wap we kizee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
Ntakuja kwa huduma ya kwanza,.[emoji4][emoji4]
Karibuni sana
IMG_20190113_170851.JPG
 
FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.

Endeleeaaa
hahaha kwa FF nimecheka sana eti...anasuka mangongo

Sent using Jamii Forums mobile app
hadi Mimi hapo kwa bibi nimecheka sana hasa kwenye kusuka mangongo
 
Back
Top Bottom