Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Barikiwa sana Ndugu mjumbe...Kila la kheri mh mjumbe
Na ninakuahidi, sinto kuangusha[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barikiwa sana Ndugu mjumbe...Kila la kheri mh mjumbe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ww, mm sitaki bhanaUmesahau sifa moja ya FaizaFoxy kuwa anamiliki bahasha yenye nyaraka za taraka, kwani aliolewa na kuachika mara sita kipindi hajawa kikongwe.
Nakuaminia mh mjumbe[emoji3][emoji3][emoji3]Barikiwa sana Ndugu mjumbe...
Na ninakuahidi, sinto kuangusha[emoji23] [emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji12]natafuta shombe shombe[emoji126][emoji126]AhahaahaH
Ebu naomba unitanie na mimi[emoji39] [emoji39] [emoji39]Namtania anajua
Mkuu, ebu andika kwa kiswahili tafadhali
wewe umeshindika mzee mwenzanguMkuu, ebu andika kwa kiswahili tafadhali
Akikujibu ni-tagDoes skin colour matter ?
Siyo wabaguzi [emoji13][emoji13] ni uchaguzi tuu. Na sisi wanatubagua sana ndiyo maana bora tutafutane sisi kwa sisi.[emoji126][emoji126][emoji126]Najua tu mlivyo "wabagudhi"😡 niunganishe na shombe nihamie zenji kbs
Siyo wabaguzi [emoji13][emoji13] ni uchaguzi tuu. Na sisi wanatubagua sana ndiyo maana bora tutafutane sisi kwa sisi.[emoji126][emoji126][emoji126]
Zenji utapawezaaaa????? Kuna shughuli huku
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuona tu😆😆😆
Ila jamani hiyo avata yako lol[emoji119][emoji119][emoji119] hata kama nipo kama mdoli wewe umezidi[emoji13][emoji13].Hahahah..napaweza bwana mie.mwanamke ujue
Naendesha ubaguzi wa rangi [emoji119][emoji119][emoji119].Nakuona tu[emoji38][emoji38][emoji38]
Hata waliocoment hawajui watu wanahisia tuu kutokana na michango yao .Sisi tusiomjua mtu humu tunacomment wapi??