Mtag shabiki wa Simba na umtakie pole kwa kumaliza msimu bila taji lolote

GENTAMYCINE pole sana ila upunguze mdomo na uongo uongo, Simba msimu huu hakuwa na kikosi cha maana.
Huo ni ushamba na ujinga.Mbona Simba hawakuwahi kuwatakia pole wajinga wote ambao hawakuwahi kupata matokeo/ubora kwa miaka yote mingi iliyopita?Masikini akipata.... ..... .....!
 
Mtani punguza hasira!! Wapi kuna sheria kuwa ni lazima tufanye kila mlichofanya nyie?
 
Kwa nini muone ajabu na kupagawa kizuzu kwa yaliyofanywa na Simba miaka mingi iliyopita na hamkusimangwa?
Upo dunia hii hii au umetua duniani leo? Hatukusimangwa?!!!!!😳😳😳
Wakati hata hapa umetusimanga!!

Hatujaona ajabu, bali tunawakumbuka watani zetu kwa upendo. Pokea salamu ndugu mtani🤣
 
Vueni nguo mserebuke kama kawaida yenu.
 
Zoezi liendelee na msimu huu wakuu🤣
 
Back
Top Bottom