Maneno ya rafiki yangu mkinga .
Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu.
Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za kunifilisi.
Bandari iko Dar , lakini bidhaa Dar bei ghali kuliko Malawi na zambia na Uganda ambao wanapitoshia bidhaa zao kwenye bandari yetu.
Hiyo haiwezekani, eti unanijia na vitisho wakati haujui mtaji nilipataje na biashara yangu naendeshaje.
Wanaume hua hawatishiwi Kwa lolote, umefunga sera mbovu Rudi nyuma , tuongee tutatue tatizo na sio kufanya ujuha ,
Jamaa kasema bidhaa Kwa mfano kontena ya kanga , vitenge, viatu, kila kontena kodi yake iwe wazi ili inulikane kwamba kontena imefika basi mtu akachukue mzigo wake na alipe kiasi kinachojulikana sio kila mzigo makadirio ambayo hayana kichwa Wala miguu huku ni kuumizana,
Serikali mjitafakari ndio maana watu wengi wameanza kutokuweka pesa benki ili likiharibika jambo mtu unasogea nchi nyingine unapiga biashara kama kawaida.
Msitutishe, msitutishe ninyi endeleeni kula rushwa tu hamjui lolote kwenye biashara .