Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

Hoyo pesa ingekuwa ni profit per day, inalipa, lakini 46 millions af faida laki 5 ni hasara, tafuta eneo lililochangamka fungua duka la jumal, utaona profit
 
Ndio wafanyabiashara huwa mnatucheka watumishi wa umma tunaopata take home ya sh. 1M
 
Acha maskhara ufuta hasa wapi unapatikana
 
Wapi huko unapata faida ya mfuko kwa jumla 5000 ndo naskia Leo..faida huwa haizid 900-1400 sehemu nyingi nihivo
 
Iko hivi gari inatoka Kakonko kwenda mwanza ikiwa na Karanga - sasa wakati wa kurudi inabeba ngano, sabuni, sukari nk

Usipochunguza kwa usahihi utadhani mwenye gari hana faida (Siri yake)
 
Watu wakikuona unashusha hilo litandam wanakuona Tajiri Freemason😂😂
 
Loh [emoji23][emoji23] achana na hyo business mm kuna business nimeanza december mwaka jana faida average kwa mwezi ni almost 600k na nilianza na mtaji wa 3.5m hyo 600k nishatoa matumiz.
Harafu unakuta kamtu kameshiba maharage......Kuajiriwa ni utumwa wakati Mtu anashinda kwenye kiyoyozi anakunja 5M.

Wewe unashinda shambani na matope Mwezi mzima faida laki sita.

😂😂😂
 
Sasa mkuu UTT kwa mwaka unapewa 11% Sasa kwa m100 ni sawa na 11m unapewa. Sasa mkuu hakuna biashara ya kuzunguusha hiyo m100 ikazaa zaid ya 11m nnayopewa na UTT.
Milion 100 uje upate faida Milioni 10 Baada ya Mwaka?

Hizo pesa zako utakuwa ni za wizi sio ulizotafuta kwa jasho.
 

Hiyo ni hasara aisee.Maana hapo una unapata faida ya 7.5% kwa mwaka. Hapo bado wafanyakazi hawajakuibia.

ni biashara yenye faida ndogo sana.ingekuwa mifuko 600 unamaliza ndani ya wiki angalau
 
Wapi huko unapata faida ya mfuko kwa jumla 5000 ndo naskia Leo..faida huwa haizid 900-1400 sehemu nyingi nihivo
Nipo Kanda ya ziwa,kg 50 ya nje yenyewe last week tuliipata pale Kwa mo Kwa 140000 tumeiuza Kwa 160000,Kagera sugar wameanza kutoa sukari kg 25 inapatikana Kwa 71000 jumla tunaiuza 76000-78000,ndugu yangu Kwa mauzo hayo haufanyi biashara ya jumla,ukichukua mifuko 600 lazima uwauzie wanaoenda nao kuuza juma na sio mfuko mmoja mmoja.Ushauri wangu you are in a wrong place if it real your doing such business.
 
Wapi huko unapata faida ya mfuko kwa jumla 5000 ndo naskia Leo..faida huwa haizid 900-1400 sehemu nyingi nihivo
Nipo Kanda ya ziwa,kg 50 ya nje yenyewe last week tuliipata pale Kwa mo Kwa 140000 tumeiuza Kwa 160000,Kagera sugar wameanza kutoa sukari kg 25 inapatikana Kwa 71000 jumla tunaiuza 76000-78000,ndugu yangu Kwa mauzo hayo haufanyi biashara ya jumla,ukichukua mifuko 600 lazima uwauzie wanaoenda nao kuuza juma na sio mfuko mmoja mmoja.Ushauri wangu you are in a wrong place if it real you are doing such business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…