Mtaji wa milioni 1 nikajitafute wapi wakuu?

Mtaji wa milioni 1 nikajitafute wapi wakuu?

Kama biashara ya mkaa ulishaifanyia utafiti nenda kaifanye, nikisema nikushauri naweza nikakushauri biashara ambayo kwa mazingira niliyopo inalipa ila kwa mazingira utakayoenda wewe hailipi, jaribu hiyo hiyo ya mkaa
 
nenda sehemu moja hivi panaitwa mbeya, mbarali then tafuta sehmu inaitwa kapunga ...kule utakuta na deals kibao anza kupiga hzo deals kupata pesa za kula na kodi then subiri kuanzia mwezi wa 5 anza kununua mpunga unashuka bei kwa kasi we nunua unakoboa unauza mchele.....ndani ya muda mfupi utaona matunda ukiepuka starehe maana malaya kibao kule kama mgodini hivi
 
Kwasasa nipo Morogoro.

Nina milioni moja napanga nikizalishe niingize chochote kitu, maisha yasonge.

Nawaza kwenda Dar nikauze mkaa.
Kwa mtaji huo uza nguo za ndani
Soksi
Chupi
Boxer
Hutajuta maana mtaji unatosha na kuna mzunguko mkubwa.. Kaji weke Manzese
 
Poa mkuu nakucheki.
Leta mrejesho
20240808_205004.jpg
 
Wee wala usipate tabu ya kuuza mkaa tulizAna hapo mji kasoro subiria mechi ya yanga na kengold tima mzigo wote yanga ashinde na apate goli mbili utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom