Njooo nikupe camera ya 5D mark II bila lens 1,000,000 ikiwa na lens inaongezeka 350,000 kazi kwakoFremu ninayo tayari. Ninacho hitaji ni Video Camera, Still pictures Camera na video camera. Kwa kiasi hicho cha pesa naweza kupata hivyo vifaa?
Wajuvi nipeni muongozo na ushauri