Bei ndogo tu 120,000/= ambapo kwa haraka haraka atapata mifuko 200 kwa pesa yake hiyo hapo hajagusa vitu kama mafuta ya kula ambapo lita 20 inagota 115000 hajaweka ngano hapo bado vitu kama sigara na nk maduka yale ni mabilioni akitaka kufanya biashara ya duka ni vyema akafungua duka la kawaida na si la jumla…Ni bei gani mu habesh
Huko asubirie kupambana na tra na EFD machine aingie kwenye VATHardware.
Tafuta senta au kijiji kalikochangamka penye harakati za ujenzi miongoni mwa wakazi wake anzisha hiyo hardware na uuze mbao pia
AmeenHongera mkuu, kwa kuzichanga hadi kufikia hapo. Utatoboa!
YESU NI BWANA
mfumo gani mkuu ? CCTV system au Software ipi itasaidia hiloUkianza Biashara utakayochagua, usiache kufunga mfumo wa kusimamia mauzo na stock
Adiuta
Accounting, Point of Sale, Manufacturing and Maintenance software, helping you manage and grow your businessadiuta.com
Mfumo unaokusaidia kusimamia Biashara yako kuanzia kuagiza bidhaa kuingiza kwenye stores zako na duka lako, kuuza, matumizi mengine, akaunti za Benki MPESA, TigoPesa et al na kukupa report kama faida/hasara na breakdown yake, madeni na mali.mfumo gani mkuu ? CCTV system au Software ipi itasaidia hilo
Kwa mtaji huo anaweza kupata hiyo system kwa Tsh ngapi, pia kwa mtu anayetegemea kuajiri mtu wa kusimamia biashara hiyo system itamfaa?Mfumo unaokusaidia kusimamia Biashara yako kuanzia kuagiza bidhaa kuingiza kwenye stores zako na duka lako, kuuza, matumizi mengine, akaunti za Benki MPESA, TigoPesa et al na kukupa report kama faida/hasara na breakdown yake, madeni na mali.
Unaweza kui access popote na ina web na mobi app
Karibu boss!Asante
Ngoja nipange nikiwa tayari nitakutafuta bossKaribu boss!
Unaweza save number 0767893474 ndio namba ya kutupigia au kututumia WhatsApp.Ngoja nipange nikiwa tayari nitakutafuta boss
Biashara haiulizwi,biashara ni tabia,hulka ya mtu husika na hawezi kuelekezwa wala kutokujua nini afanye, hua anafanya na atauliza kwa wenzie baadae kujua ABC ya wafanya biashara wa mtaa mwingine au mkoa mwingine kujua wao wanafanyaje, ukiwa hujawahi kushika biashara na si tabia yako,yamkini ukapoteza pesa japo ukweli ni kwamba biashara nzuri kwa mtu ni kile anacho kijua na kukitamani toka akiwa mtotoFriends,
Natumaini hizi zote ni idea nzuri ila ni ipi kati ya hizi iko very promising, yenye mzunguko mzuri wa pesa kwa sasa na kunikuza pakubwa baadae.
Karibuni
Fungua Min Super Market nzuri pangilia bidhaa zako hasa zile zinazo liwa kila siku kama Unga, Mchele nk. Unaweka kwenye Packages za Ikg na 2kg kulingana na wateja wako Unaweza kutengeneza vifungashio vyako ili kujibrand zaid, Upande mwingine unaweza kuweka vinywajivya takeaway kama imani yako inakuruhusu. Kama eneo ni zuri unaweza kuweka hadi vitu kama nyanya, karoti, matunda nk, Lakini vyote hivyo viwe kwenye quality nzuri hakika utaliteka eneo hilo na utaingiza faida nzuri Muhimu Eneo lisiwe uswahilini.Friends,
Natumaini hizi zote ni idea nzuri ila ni ipi kati ya hizi iko very promising, yenye mzunguko mzuri wa pesa kwa sasa na kunikuza pakubwa baadae.
Karibuni
Nachukia sana watu kama wewe mmekaa kupotosha na kukatisha watu tamaa ujui kitu piga kimya, mifuko 200 yote ya nini na ukiwa mjini gari za bidhaa zinapita tofauti ata mara 3 kwa siku.Bei ndogo tu 120,000/= ambapo kwa haraka haraka atapata mifuko 200 kwa pesa yake hiyo hapo hajagusa vitu kama mafuta ya kula ambapo lita 20 inagota 115000 hajaweka ngano hapo bado vitu kama sigara na nk maduka yale ni mabilioni akitaka kufanya biashara ya duka ni vyema akafungua duka la kawaida na si la jumla…
Kidogo angekuwa na 250- 300 million kidogo ingetosha kabisa kuanzisha biashara ya jumla..
Acha tuu, ndugu,Nachukia sana watu kama wewe mmekaa kupotosha na kukatisha watu tamaa ujui kitu piga kimya, mifuko 200 yote ya nini na ukiwa mjini gari za bidhaa zinapita tofauti ata mara 3 kwa siku.
Yupo mtu namfahamu kwa mtaji wa mil20 duka la jumla anasomesha wanae watatu shule za kishua, anakula vizuri analala pazuri ana bajaji kadhaa, pikiki kadhaa kupitia hiyo hiyo business na mtaji kama huo unaosema unatosha kununua mifuko 200
Uraiani hila ni mazingira yalio changamkaAcha tuu, ndugu,
Ahsante sana boss.
Yeye, duka lake kaliweka katika location ya aina gani?
Tatizo moja ya ile kazi ni ina faida kiduchu sana kama una mtaji mdogoMkuu wekeza kwenye tumbo, kwa hizo option mbili nachagua duka la jumla naona fedha zitazunguka sana hasa hilo duka likihusiana na matumizi ya binadamu ya kila siku.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
👍Ukianza Biashara utakayochagua, usiache kufunga mfumo wa kusimamia mauzo na stock
Adiuta
Accounting, Point of Sale, Manufacturing and Maintenance software, helping you manage and grow your businessadiuta.com
Ahahahaanhaaaa…. Okay
bonge la idea
kama ni kweli
Kuhusu hiyo ya mikoani Kwa hiyo duka la vipuri Singida mjini lina faida kuliko likiwa Mtoni Kijichi, D’Salaam ?