Mtaka hujui kusema Makonda yuko sahihi 100% kinakupunguzia ushawishi ndani na nje ya CCM? Ungekaa kimya ingefaa zaidi

Mtaka hujui kusema Makonda yuko sahihi 100% kinakupunguzia ushawishi ndani na nje ya CCM? Ungekaa kimya ingefaa zaidi

Ahahaha si ndo hapo! Yaani unajiona una haki kuwa hutaki mtu amuunge mkono flani Wakati huohuo hutaki mwingine awe na haki hiyo.

Mtoa mada ni kibaka wa Uwanja wa fisi pale kwenye ma mashine ya kusaga na kukoboa Karibu na Mbokhom bar
🤣🤣🤣
 
Nimesoma lkn nimeshindwa kumwelewa mleta mada kwa sababu kichwa cha habari na content zake naona kama vinakinzana. Labda mleta mada atuambie kama hivyo vilivyo ndio sahihi?
Comments za wanajamvi ni muhimu zaidi kuzielewa. Wengi wamenielewa.
 
Tanzania ni nchi ya kijinga sn inaendeshwa kwa maono ya Rais na siyo dira ya taifa wala mipango mikakati
 
Mimi nashindwa kuelezwa massive of tanzanian wanaanin kama kila mtu ana mawazo kama yake Yan eti kama yeye hampendi makonda basi analazimisha kila mtu awaze kama yeye
Issue siyo kumpenda mtu au kutompenda. Tunachojadili ni mawazo ya kiongozi na namna yanavyoweza kujenga jamii moja ya Kitanzania yenye mwelekeo wa kimaendeleo. Tusiwe viongozi vipofu kuwa hata kitu dhahiri unapiga chenga kuogopa kupoteza nafasi. Hiyo siyo sawa.
 
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake.

Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi.

Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa vitendo yale waliyoyapanga.

Hivi, nikimwuliza Makonda aliwahi kukaa na nani na kikao gani kujadili namna ya kuimplement maono ya Rais? Hasa kuhusu sera za nchi (maono ya Rais) ya masuala ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi, maliasili nk?

Je, anao huo uwezo? Ukimlinganisha na walioshika nafasi ya Unezi kipindi cha nyuma?

Kwa Mtaka kusema unamkubali,siyo Uchawa ambao uliukataa kwenye mahojiano yako?

Naamini kuna asilimia kubwa ya wananchi walianza kukubali kuwa unapenda haki,ila kwa kauli yako ya kumuunga mkono huyo jamaa, umegawa watu.

Sina uhakika kama uko humu jamvini, ila umetia doa. Unayoyaongea na kutenda yawezekana ni uchawa zaidi.
Siku hizi jamii forum imejaa wajinga machawa wapumbavu kama mtoa mada hapa
 
Mtaka alilelewa ukweni Morogoro, halafu sio mtu makini saana kwa sababu hajakutana na changamoto. Dodoma ilimtoa jasho ikabidi apelekwe kuongoza miparachichi na paini.

Ni dikteta na ana u-Yego Chikaka na U-Yego Jaji. Hafuati utawala wa sheria, anabeba watoto wa watu, nje ya sheria, anawaweka kwenye mapagale lwa kisingizio eti ni makambi ya kusoma, ukimuuliza kwa sheria ipi unaweka watoto hapo hana jibu.

Ni wa kawaida sana, pia akiwa RC Dodoma, kampuni ya mkwewe ya kufyatua tofali ilipata tenda za mkoa mzima
Kuna kipindi ukichaa wenu hupanda sana na kuwa utaahila.
 
Mimi nashindwa kuelezwa massive of tanzanian wanaanin kama kila mtu ana mawazo kama yake Yan eti kama yeye hampendi makonda basi analazimisha kila mtu awaze kama yeye
Sasa kama una akili timamu utampenda makonda??Kwa lipi hasa???
 
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake.

Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi.

Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa vitendo yale waliyoyapanga.

Hivi, nikimwuliza Makonda aliwahi kukaa na nani na kikao gani kujadili namna ya kuimplement maono ya Rais? Hasa kuhusu sera za nchi (maono ya Rais) ya masuala ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi, maliasili nk?

Je, anao huo uwezo? Ukimlinganisha na walioshika nafasi ya Unezi kipindi cha nyuma?

Kwa Mtaka kusema unamkubali,siyo Uchawa ambao uliukataa kwenye mahojiano yako?

Naamini kuna asilimia kubwa ya wananchi walianza kukubali kuwa unapenda haki,ila kwa kauli yako ya kumuunga mkono huyo jamaa, umegawa watu.

Sina uhakika kama uko humu jamvini, ila umetia doa. Unayoyaongea na kutenda yawezekana ni uchawa zaidi.
Huyu Mtaka ana nafasi ya kuwa KM wa CCM Taifa.
 
Back
Top Bottom