Mtaka hujui kusema Makonda yuko sahihi 100% kinakupunguzia ushawishi ndani na nje ya CCM? Ungekaa kimya ingefaa zaidi

Ahahaha si ndo hapo! Yaani unajiona una haki kuwa hutaki mtu amuunge mkono flani Wakati huohuo hutaki mwingine awe na haki hiyo.

Mtoa mada ni kibaka wa Uwanja wa fisi pale kwenye ma mashine ya kusaga na kukoboa Karibu na Mbokhom bar
🤣🤣🤣
 
Nimesoma lkn nimeshindwa kumwelewa mleta mada kwa sababu kichwa cha habari na content zake naona kama vinakinzana. Labda mleta mada atuambie kama hivyo vilivyo ndio sahihi?
Comments za wanajamvi ni muhimu zaidi kuzielewa. Wengi wamenielewa.
 
Tanzania ni nchi ya kijinga sn inaendeshwa kwa maono ya Rais na siyo dira ya taifa wala mipango mikakati
 
Mimi nashindwa kuelezwa massive of tanzanian wanaanin kama kila mtu ana mawazo kama yake Yan eti kama yeye hampendi makonda basi analazimisha kila mtu awaze kama yeye
Issue siyo kumpenda mtu au kutompenda. Tunachojadili ni mawazo ya kiongozi na namna yanavyoweza kujenga jamii moja ya Kitanzania yenye mwelekeo wa kimaendeleo. Tusiwe viongozi vipofu kuwa hata kitu dhahiri unapiga chenga kuogopa kupoteza nafasi. Hiyo siyo sawa.
 
Siku hizi jamii forum imejaa wajinga machawa wapumbavu kama mtoa mada hapa
 
Kuna kipindi ukichaa wenu hupanda sana na kuwa utaahila.
 
Mimi nashindwa kuelezwa massive of tanzanian wanaanin kama kila mtu ana mawazo kama yake Yan eti kama yeye hampendi makonda basi analazimisha kila mtu awaze kama yeye
Sasa kama una akili timamu utampenda makonda??Kwa lipi hasa???
 
Huyu Mtaka ana nafasi ya kuwa KM wa CCM Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…