Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Tanganyika lazima akombolewe toka mikononi mwa serikali ya mkoloni.Haya ndo maelekezo kutoka Nairobi?
Akombolewe na nani? Tangu lini kukawa na jitihada za kumkomboa Tanganyika kutoka Nairobi?Mama Tanganyika lazima akombolewe toka mikononi mwa wakoloni.
Kabisa tunahitaji kuandamana kupinga mambo mengi ya hovyo Tanzania.
Wazo zuri tunaishi kwenye jamii mfu ambayo haiwezi kuhoji kwa sauti inayosika. 'Silence surrenders public responsibility'
Unatutaka TUENDE sisi wewe utakuwa wapiiii. Hovyo kabisa
Mtu mweusi huyu hapa, yaani ni zaidi ya kondoo hapa duniani hajielewi, hajui chochote yaan yeye kwake kila kitu sawa tuHaya ndo maelekezo kutoka Nairobi?
Tunawajua mnatumika kwa maslahi ya Kenya.Mtu mweusi huyu hapa, yaani ni zaidi ya kondoo hapa duniani hajielewi, hajui chochote yaan yeye kwake kila kitu sawa tu
Anaeleweka zaidi kwa kuwa follow mitandaoni kina mond, zuchu, mario, Paula, harm na wote wanaofanana na hao.Mtu mweusi huyu hapa, yaani ni zaidi ya kondoo hapa duniani hajielewi
Rev Mtikila: Hulka ya Unyani Unyani!Anaeleweka zaidi kwa kuwa follow mitandaoni kina mond, zuchu, mario, Paula, harm na wote wanaofanana na hao.
Ila kwenye kwenye mipango kuhusu future ya maisha yake hajielewi kabisa.
Hivi wabongo tuko na uhulka wa unyani unyani?Rev Mtikila: Hulka ya Unyani Unyani!
Team Magufuli wanayaunga mkono maandmano
Tuombe radhiHivi wabongo tuko na uhulka wa unyani unyani?
Mimi nitakuwa frontlinePeleka familia yako front ikaandamane kuongeza idadi
Acha uogaEbu ngoja kwanza........
Hivi mtu ambae hata kuhoji anaogopa, kuandamana ataweza kweli....🤔