Kama wote wanaopinga huu mkataba ni team Magufuli, basi huyo mwenda zake apewe maua yakeTeam Magufuli wanayaunga mkono maandmano
Ni upumbavu kudhani kuungana na waungwana kupinga mkataba huu ni kuwa team Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wote wanaopinga huu mkataba ni team Magufuli, basi huyo mwenda zake apewe maua yakeTeam Magufuli wanayaunga mkono maandmano
Mnaandamana kwenda wapi,Watakaoandamana wapigwe tu ,ukikaidi utapigwa2
wanaogopa kipigoUbavu wa kuandamana autoe wapi
Njoo huku kwenye maandamano upate updates za uhakika. Sasa ww unaogopa hata kuja kuchukua updates ndio utaweza kuandamana?Tupe update maandamano yanaendaje ama na wewe ni keyboard warrior unapiga kelele mtandaoni tu?
Acha spinning wewe! Nairobi ya wapi? Mbona unachepusha mambo wakati wenye nchi ndio hatutaki kuuza bandari yetu kwa mafisadi?Haya ndo maelekezo kutoka Nairobi?
Mimi mwananchi nataka mkataba.Acha spinning wewe! Nairobi ya wapi? Mbona unachepusha mambo wakati wenye nchi ndio hatutaki kuuza bandari yetu kwa mafisadi?
Nakuona kila mahali unaandika kuwa eti Kenya ndio inashawishi tuikatae DPW!
Wewe bora kufuga mbuzi kuliko kuwa nawe maana ni hasaraMimi mwananchi nataka mkataba.
Acha viongozi wako wale hela za wakenya wewe. We endelea kufuata upepo tu
Kwa iyo una comment kwenye thread ya hasara?Wewe bora kufuga mbuzi kuliko kuwa nawe maana ni hasara
Bongo ninavyoijua mimi haiwezekani kuwa na maandamano ya uhakika kama Cairo ,Tripoli ,Tunis hata kiasi kama ya Nairobi kisa mambo ya siasa hilo usitarajie labda miaka mingi baadae unaweza kuweka hata migambo ikatosha kuzuia na kuthibiti fujo za aina zozote.Nenda ukwapige wewe kwa msaada wa DP.
johnthebaptist picha tafadhariPicha za maandamano zipo wapi?
View attachment 2662041
Naona Wazenji mmechanganyikiwa. Nawaonea huruma Muungano ukivunjika.Peleka familia yako front ikaandamane kuongeza idadi
Nani kakwambia mimi mzenji. Tuma picha yako ukiandamana sio unapiga kelele huku mtandaoniNaona Wazenji mmechanganyikiwa. Nawaonea huruma Muungano ukivunjika.
Dadadeki mmejazana Tanganyika kama mchwa; mmekwisha
Wewe unadhani Maandamano ya Libya, Misri na Tunisia yalipangwa?Bongo ninavyoijua mimi haiwezekani kuwa na maandamano ya uhakika kama Cairo ,Tripoli ,Tunis hata kiasi kama ya Nairobi kisa mambo ya siasa hilo usitarajie labda miaka mingi baadae unaweza kuweka hata migambo ikatosha kuzuia na kuthibiti fujo za aina zozote.
Naomba munitag kama maandamano yatatokea popote pale niko hapa.
Wewe utakuja?
Hawajakuelewa hawa vipofuTunawajua mnatumika kwa maslahi ya Kenya.
Hawa vipofu wataelewa tuHawajakuelewa hawa vipofu
Kukua kwa Bandari ya TZ kiufanisi kutaiteremsha Bandari ya Kenya kimapato.
Ki uhalisia Tz na Kenya ziko kwenye stratejic location kwa kupitisha Mizigo ya Uganda, Burundi,Rwanda,Kongo,Zamzbia, Malawi.
Lakini Tanzania ina nafasi nzuri zaidi kama itaboresha Huduma katika Bandari zake.
Ndo maana Kenya Inawatumia Chadema kufelisha mpango mkakati huu ama kwa kujua au kwa kuto kujua