Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Wanatumiwa kama matutusa fulani wasiojielewa. Hawawezi kuona huu ushindani wa kimkakati kati ya bandari ya Mombasa na hii ya Dar.Hawajakuelewa hawa vipofu
Kukua kwa Bandari ya TZ kiufanisi kutaiteremsha Bandari ya Kenya kimapato.
Ki uhalisia Tz na Kenya ziko kwenye stratejic location kwa kupitisha Mizigo ya Uganda, Burundi,Rwanda,Kongo,Zamzbia, Malawi.
Lakini Tanzania ina nafasi nzuri zaidi kama itaboresha Huduma katika Bandari zake.
Ndo maana Kenya Inawatumia Chadema kufelisha mpango mkakati huu ama kwa kujua au kwa kuto kujua
Hawawezi kuona baraka ya Mungu ya kuipa Tanzania fukwe yenye urefu wa kilomita 1420 kulinganisha na Kenya yenye fukwe isiyo na zaidi ya kilomita 500. Hawawezi kuona kuwa ndani ya miaka mitatu au minne ijayo bandari ya Dar na ile ya Bagamoyo zinakwenda kuifunika vibaya sana ile ya Mombasa.
Wanadanganyiwa pipi kwa hoja nyepesi ya waarabu na utumwa na wao wanaingia mazima kabisa kama vile mapunguani fulani wanaotembea kwa kushikwa mkono wakiwa wamekatwa shingo zao.
Mstari mmoja kwenye Biblia unasema ' watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa' na ndio huu ukosefu wa maarifa unaoitesa Tanzania ya sasa.