Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Toka nianze kuwa na Gudume watu wivu umewajaaa hata kuniwish hawatak sawa

Jumapili njema Demiss
Nilitaka nitaje mmoja mmoja nikashindwa nikaamua niwish kwa ujumla maana wapo wengi sana wanaostahili wishes yangu, kwa hao watu huenda upo kwenye class ya juu kabisa.
 
Alisema kabisa mm nlikuwa mtu wake?!ngoja nimuulize vzr leo
Sijasema kua yy alisema nimesama kua najua..
Sidhani itafaa kitu kumueeleza haya ila ikikupendeza fanya uonalo ni sahihi...
 
No secret under the sun..
Mbona skendo nyingi za memba wa jf tunazijua bila hata wao kuzisema
Nitafurahi sana ukileta huo ushahidi hapa ili na hii iwe skendo.

Kumbe binti hakusema namm sikusema halaf ww umejua...basi ww utakuwa ulinishikia miguu bila kujua
 
C
Nitafurahi sana ukileta huo ushahidi hapa ili na hii iwe skendo.

Kumbe binti hakusema namm sikusema halaf ww umejua...basi ww utakuwa ulinishikia miguu bila kujua
Brother let us stop here...
Sijasema hii ni skendo
Yaishe tusije kukuza mambo yasiyo na faida kwako na kwangu
Peace and respect
 
Unaogopa tena na maneno umeanzisha mwenyewe?

Kama alikwambia kwa siri kuwa ananipenda aje tu kuniambia mwenyewe mm huwa simkatai demu nimeshasema mara nyingi sana sina ujasiri huo
 
Back
Top Bottom