Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww nahasira naww mmhh sijui nikukamata nitakufanyaje...[emoji123] [emoji123]
Jumapili njema bwana mdogo
Sio Curious gal tena?Jumapili njema kwa mpenzi wangu wa moyoni Demi
Ndio unampenda ww?Sio Curious gal tena?
Kwakua ni binti basi kumpenda sio tatizo ila najua alikua mtu wako..Ndio unampenda ww?
Kwakua ni binti basi kumpenda sio tatizo ila najua alikua mtu wako..Ndio unampenda ww?
Nilitaka nitaje mmoja mmoja nikashindwa nikaamua niwish kwa ujumla maana wapo wengi sana wanaostahili wishes yangu, kwa hao watu huenda upo kwenye class ya juu kabisa.Toka nianze kuwa na Gudume watu wivu umewajaaa hata kuniwish hawatak sawa
Jumapili njema Demiss
Alisema kabisa mm nlikuwa mtu wake?!ngoja nimuulize vzr leoKwakua ni binti basi kumpenda sio tatizo ila najua alikua mtu wako..
Ila naona umehamisha kikosi kwa Demi
Sijasema kua yy alisema nimesama kua najua..Alisema kabisa mm nlikuwa mtu wake?!ngoja nimuulize vzr leo
Sasa ulijuaje kama yeye hakukwambia?Sijasema kua yy alisema nimesama kua najua..
Sidhani itafaa kitu kumueeleza haya ila ikikupendeza fanya uonalo ni sahihi...
No secret under the sun..Sasa ulijuaje kama yeye hakukwambia?
Still ur alive?Jumapili njema kwenu
Nakukunda
Ukhuty
Inna
Shunie
Emmyta
Mimi namtakia mke wa mtu-Numbisa jumapili njema![emoji53][emoji53][emoji53]
Nitafurahi sana ukileta huo ushahidi hapa ili na hii iwe skendo.No secret under the sun..
Mbona skendo nyingi za memba wa jf tunazijua bila hata wao kuzisema
Brother let us stop here...Nitafurahi sana ukileta huo ushahidi hapa ili na hii iwe skendo.
Kumbe binti hakusema namm sikusema halaf ww umejua...basi ww utakuwa ulinishikia miguu bila kujua
Brother let us stop here...Nitafurahi sana ukileta huo ushahidi hapa ili na hii iwe skendo.
Kumbe binti hakusema namm sikusema halaf ww umejua...basi ww utakuwa ulinishikia miguu bila kujua
Amen,,,,,the same to uHabari zenyu Wandugu.
Uzi huu ni Maalum kwa kutakiana jumapili njema.Muwe na Jumapili njema wapendwa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] .
SYB
Unaogopa tena na maneno umeanzisha mwenyewe?C
Brother let us stop here...
Sijasema hii ni skendo
Yaishe tusije kukuza mambo yasiyo na faida kwako na kwangu
Peace and respect