Mtakufa malofa na moto mtauingia kwa kuendekeza mpira

Ndio maana hata maraisi wanatoa bajeti zao kupeleka mpirani.
Hao Marais wao wanatafuta sehemu yoyote yenye kundi la watu wengi aijalishi wanajitambua au la, lengo ikifika wakati wa uchaguzi wawatumie,nchi kama Tanzania kuna changamoto nyingi sana kwenye jamii inabidi ujizime data kuwq mshabiki wa mpira, nikitaka kuangalia mpira naangalia lig za mbele japo sio sana,uwezi kuupa kipaumbele mpira wakati unamatatizo kibao ya kiuchumi nadani ya nchi.
 
Matajiri na maraisi wanatufanya kama misukure kwa faida zao.Wengine mpaka wameona mtaji ujinga wetu wanajenga viwanja vyao na kila wiki lazima waitishe mechi.Wajinga wanatoka mitaa ya mbali kuja kupiga makele.
Benki nazo wakimaliza ligi hii wanaandaa ligi nyengine.
 
Umeeona wanjinga ndio wali wao,kuna watu eti wanapenda hizi timu mbovu kiasi cha kutembea kwa mguu na kupita mbugani nakukoswa koswa na wanyama kisa kwenda dar kuangalia mechi baada ya mechi mtu anamba nauli kama sio Wendawazimu nini.
 
Umeeona wanjinga ndio wali wao,kuna watu eti wanapenda hizi timu mbovu kiasi cha kutembea kwa mguu na kupita mbugani nakukoswa koswa na wanyama kisa kwenda dar kuangalia mechi baada ya mechi mtu anamba nauli kama sio Wenda wazimu nini.
Wote wanafanana kwa kuomba omba au kukwapua.Nusu moja inarudi na huzuni ikilaumu kisicholaumika na kundi jengine lina furaha feki.Wiki ijayo watakuwa kama hawa.Inakwenda na kujirudia kama hivyo kila siku mpaka afya inadorora.
 
Niliwahi kupenda zamani.Halafu nikaona sipati faida yoyote nikaacha.
Faida ya starehe hauwezi kuipima ndio maana Real Madrid wamefanya ukarabati uwanja wao na kuwa wa kisasa zaidi Duniani...
 
Wakati mwingine huwa una akili zinazofanya kazi vizuri.
 
Hayo ni matokeo ya mind programming. Ilishafanywa siku nyingi na inaendelea kufanyika kila siku ili dunia itawalike smoothly.
 
"Tumia fursa hiyo kujiongeza wewe binafsi"
Umenena vyema
 
Hakuna kitu kinasikitisha kama unapita asubuhi kwenye meza za magazeti alafu unaona watu wamejaa , unadhani labda wananchi wameamka wanasoma mambo ya maana, kumbe wapo busy kurasa ya nyuma wanasoma michezo. Alafu nchi ndio inategemea watu kama hao waweze kuwa na hoja ya maana maishani.
 
Hata ukinunua chakula ukala unamtajirisha mtu
 
Kumekua na wimbi la watu humu kupangiana nini mtu afanye au asifanye. Mkuu umeleta mada nzuri ila tambua kila mmoja wetu ana namna yake ya maisha ushabiki si kitu mbaya labda kama utaleta madhara. Wewe umeona sio sahihi kwa misingi yako labda na familia yako ila mwingine ni mshabiki mzuri na hatokufa maskini kama ww punguza makasiriko yenye chembe za chuki wivu na kujiona bora zaidi
 
Una stress wewe. Pambania maisha yako.
 
Kama hupendi mpira tulia tunaopenda tuendelee kuupenda na kushabikia kwa sababu sio dhambi kupenda mpira ni moja ya starehe, kama unashibikia rede unataka Kila mtu apende rede🤔🤔
 

Mi naona unaruka ruka tu sijajua shida yako hasa ni nini?
 
We ndo maskini Sasa kama ni hivyo viwanja vya Mpira visingejaaga kote ulimwenguni ni mchezo pendwa kama upendi ni wewe na inaonekana ujawahi enda ata stadium wewe unawaza Umaskini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…