Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Jinsi navyoiheshimu hii id..duh..kweli wasukuma akili zao bwana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Jinsi navyoiheshimu hii id..duh..kweli wasukuma akili zao bwana...
🤣 🤣 🤣kwa waliofika Marekani, wanajua kuwa akili za African americans sio sawa na akili za Wazungu. akija mzungu hapo angeongea vitu vya maana. hao ma black americans siku zote huwa wanawaza ngono tu hata maendeleo hawana, na si ukute alinyimwa kitu na dada zetu hawa akachukia nchi nzima.
🤣 🤣 🤣EEeeenHeeeee!
Unawaaibisha sana wahaya kwa akili za aina hii. Nawafahamu sana watu makini wanaotokea sehemu hizo siyo kama wewe. Bila shaka wewe ni pandikizi tu!
Sisi tuna uhusiano na China, Oman, India and we are happy.Jambo jambo?
Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC.
Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo.
Lakini tusisahau kuwa sisiem wanatuambia kuwa nchi inafunguka na maendeleo tunayoyafanya yanaendana na nchi nyingi Afrika.
Mtaalii huyo ameenda mbali na kusema Kenya ni kama Indonesia kwa kuchapa maendeleo huku Tanzania ni kama Cambodia miaka 30 nyuma.
Ametetea point yake kwa kulinganisha yafuatayo:
- Internet Kenya iko kasi na ni very cheap huku Tanzania internet iko slow licha ya mitandao ya simu kuwa mingi na ni ghali.
- Road network Kenya na Uganda ziko vizuri huku Tanzania hali ikiwa tete mpaka kuna maeneo mjini hayana miundombinu mizuri.
- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.
- Ushirikiano kati ya diaspora na African Americans waliopo nchini Tanzania ni mfinyu sana huku Kenya na Uganda ikitupiga gepu.
- Mengine jazia kwa video.
My Take: Sitaki kufuatilia sana upande wa pili lakini ni dhahiri kuwa nchi hii sisiem wametuchelewesha sana na rasimali zetu zinapigwa minada waziwazi huku tukijinasibu kuwa tuna miaka 60 ya uhuru na hata Jiji la Mwanza mpaka leo halina maji licha ya kuwa jirani na Ziwa.
#Royotuwa
#Anaupigamwingi
#anafunguanchi
#nani kama mama
TULIJIROGA WENYEWE
View attachment 2670315
Kwasasa
Kahama,Tanzania
Huyo katoa maoni yake kuhusu anavyoiona nchi yenu sasa kosa lake nini au mnataka tu angetoa maoni kumsifia mama kinafiki kama mnavyofanya.Sisi tuna uhusiano na China, Oman, India and we are happy.
Na yeye kama anaona nchi yetu sio poa, aende huko anakofikiri ni poa.
Ndio zenu mkiambiwa ukweli mnang'akaAende akauze kalio huko , mjinga sana huyo mtalii
Badala tu ya kukanusha na kusema mtalii ni mjinga nadhani ingekuwa jambo zuri ungetupatia majibu ya yale aliyoyasema, kwa mfano ungetuambia si kweli kwamba intaneti TZ ni sawa na mwendo wa konokono na huku vifurushi vikiwa bei juu,je si kweli kwamba lugha ya mawasiliano na wenzetu wa nje sisi ni bure kabisa, na huduma zetu huko mbugani ni sifuri? kwenye vyombo vya habari tumesikia hapa kuwa watalii wakija TZ hawarudi tena. Tatizo waTZ tunapenda tusifiwe tu hata pale tunapojijua hatuna uwezo, na hapa ndipo tulipofikia,hatutaki kuambiwa yale tusiyoyapenda tuyasikie.huyu mtalii ni mjinga, anafikiri hatujafika kenya, uganda na Ulaya?