Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kaongea ukweli mwingiHata marekani Kuna vichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaongea ukweli mwingiHata marekani Kuna vichaa
Kama HUYU HAPAAnd kutokana na majibu unaweza kuona aina ya watu tuko nao,defence mechanism yao ni matusi
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Na muache kuchukua misaada na mikopo kwaoHaya mashoga, marufuku nchini mwetu yaende Kenya kuna wenzao huko!
Sasa ni bora hujui kingereza lkn unafanya maendeleo kama hao warabu, sasa wewe na kiswahili chako lkn pia maendeleo hakuna.mi nadhani yeye alitakiwa ajivunie kuona watu wanazungumza kiswahili kwakua ndio lugha ya africa kwa sasa sasa anazunguzia lugha mbona waarabu awajui kingereza na wamepiga hatua kubwa sana hao ndio watalii wa mchongo wa LGBTQ
Mchawi ni ccm, wanajua w anachokifanya, kama kwa uzwazwa wetu huu, tumeweza kuwa na chadema, na tundulisu mmoja, na tunawachachafya ma ccm mpaka sasa hv yanatishia kutupoteza hadharani! Fikiria nchi ikifunguka, tukawa na Tundu lisu 20! Si yatakufa kihoro!Jambo jambo?
Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC.
Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo.
Lakini tusisahau kuwa sisiem wanatuambia kuwa nchi inafunguka na maendeleo tunayoyafanya yanaendana na nchi nyingi Afrika.
Mtaalii huyo ameenda mbali na kusema Kenya ni kama Indonesia kwa kuchapa maendeleo huku Tanzania ni kama Cambodia miaka 30 nyuma.
Ametetea point yake kwa kulinganisha yafuatayo:
- Internet Kenya iko kasi na ni very cheap huku Tanzania internet iko slow licha ya mitandao ya simu kuwa mingi na ni ghali.
- Road network Kenya na Uganda ziko vizuri huku Tanzania hali ikiwa tete mpaka kuna maeneo mjini hayana miundombinu mizuri.
- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.
- Ushirikiano kati ya diaspora na African Americans waliopo nchini Tanzania ni mfinyu sana huku Kenya na Uganda ikitupiga gepu.
- Mengine jazia kwa video.
My Take: Sitaki kufuatilia sana upande wa pili lakini ni dhahiri kuwa nchi hii sisiem wametuchelewesha sana na rasimali zetu zinapigwa minada waziwazi huku tukijinasibu kuwa tuna miaka 60 ya uhuru na hata Jiji la Mwanza mpaka leo halina maji licha ya kuwa jirani na Ziwa.
#Royotuwa
#Anaupigamwingi
#anafunguanchi
#nani kama mama
TULIJIROGA WENYEWE
View attachment 2670315
Kwasasa
Kahama,Tanzania
Uturuki ndio majibuJambo jambo?

Umeongea point nzuri sana, ingawa wengi wanaponda na hata kumuita shogaNi mtazamo wake, ila ni vizuri pia kuparekebisha pale penye tatizo
Jambo jambo?
Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC.
Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo.
Lakini tusisahau kuwa sisiem wanatuambia kuwa nchi inafunguka na maendeleo tunayoyafanya yanaendana na nchi nyingi Afrika.
Mtaalii huyo ameenda mbali na kusema Kenya ni kama Indonesia kwa kuchapa maendeleo huku Tanzania ni kama Cambodia miaka 30 nyuma.
Ametetea point yake kwa kulinganisha yafuatayo:
- Internet Kenya iko kasi na ni very cheap huku Tanzania internet iko slow licha ya mitandao ya simu kuwa mingi na ni ghali.
- Road network Kenya na Uganda ziko vizuri huku Tanzania hali ikiwa tete mpaka kuna maeneo mjini hayana miundombinu mizuri.
- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.
- Ushirikiano kati ya diaspora na African Americans waliopo nchini Tanzania ni mfinyu sana huku Kenya na Uganda ikitupiga gepu.
- Mengine jazia kwa video.
My Take: Sitaki kufuatilia sana upande wa pili lakini ni dhahiri kuwa nchi hii sisiem wametuchelewesha sana na rasimali zetu zinapigwa minada waziwazi huku tukijinasibu kuwa tuna miaka 60 ya uhuru na hata Jiji la Mwanza mpaka leo halina maji licha ya kuwa jirani na Ziwa.
#Royotuwa
#Anaupigamwingi
#anafunguanchi
#nani kama mama
TULIJIROGA WENYEWE
View attachment 2670315
Kwasasa
Kahama,Tanzania
komenti ya kipuuzi sana hiyoMkuu hujui ukiwa wa 1 kukomenti hautakiwi kuqoute uzi.
sisiemu ndo vichaa
Anasema ukweli hakuna Maendeleo Tanzania ipo kama Cambodia kimaendeleo bado tuko nyuma kwa kila kitu CCM haiendelezi nchi kwenda mbele V,ongozi wa CCM wanakula wao nchi inazidi kudidimia kimaendeleo hata mimi ninamuunga mkono huyu M-Marekani Mweusi.Jambo jambo?
Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC.
Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo.
Lakini tusisahau kuwa sisiem wanatuambia kuwa nchi inafunguka na maendeleo tunayoyafanya yanaendana na nchi nyingi Afrika.
Mtaalii huyo ameenda mbali na kusema Kenya ni kama Indonesia kwa kuchapa maendeleo huku Tanzania ni kama Cambodia miaka 30 nyuma.
Ametetea point yake kwa kulinganisha yafuatayo:
- Internet Kenya iko kasi na ni very cheap huku Tanzania internet iko slow licha ya mitandao ya simu kuwa mingi na ni ghali.
- Road network Kenya na Uganda ziko vizuri huku Tanzania hali ikiwa tete mpaka kuna maeneo mjini hayana miundombinu mizuri.
- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.
- Ushirikiano kati ya diaspora na African Americans waliopo nchini Tanzania ni mfinyu sana huku Kenya na Uganda ikitupiga gepu.
- Mengine jazia kwa video.
My Take: Sitaki kufuatilia sana upande wa pili lakini ni dhahiri kuwa nchi hii sisiem wametuchelewesha sana na rasimali zetu zinapigwa minada waziwazi huku tukijinasibu kuwa tuna miaka 60 ya uhuru na hata Jiji la Mwanza mpaka leo halina maji licha ya kuwa jirani na Ziwa.
#Royotuwa
#Anaupigamwingi
#anafunguanchi
#nani kama mama
TULIJIROGA WENYEWE
View attachment 2670315
Kwasasa
Kahama,Tanzania
🤣 🤣 🤣Ngoja mvua zinyeshe uone Dar ilivyo dar