Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo gani kasema Sasa hapoAende akauze kalio huko , mjinga sana huyo mtalii
Ulishakaa Kenya?Inawezekana wale wanaonunua mabando makubwa Kuna nafuu ila.kwa bando za kawaida wako too expensive
Ulishakaa Kenya?
Mi nimekaa kule miaka 3
Sasa kama watu wenyewe ni kama mtoa mada mnawaza upumbavu hata pale ambapo hamna uwezo wa kutenda hamtaki kusaidiwa mnaanza kuzusha upuuzi wenu wa Kijamaa mara ooh tunapigwa sijui majizi mara tumeuzwa nk
Kwa jinsi Tanzania ilivyojaa uswazi na jinsi Miundombinu yetu Mingi inafanywa kienyeji enyeji Kwa siasa uchwara Yuko sahihi Kwa sababu inaonesha kwamba zaidi ya nusu ya Watalii wakija Tzn Huwa hawarudi..
Mwisho mlaumuni Babu yenu wa Taifa ambae aliona ni Bora kusaidia.Nchi zingine Kwa rasilimali za Taifa na watu wake badala ya kusaidia watu wa Tanzania.
And kutokana na majibu unaweza kuona aina ya watu tuko nao,defence mechanism yao ni matusiMkiambiwa ukweli hata kama mtaumia inabidi muukubali tu.
Mi nilikuwaga na mluhya alikuwa vizuri.niliwahi kumbandu demu wa kikenya.
Aisee amna kitu,hawajui kunyanduana.
Kwa xperience yako huko, ni kweli kuwa hawajui kitu au nilikutana na maandazi?
Mi nilikuwaga na mluhya alikuwa vizuri.
Shida ya wakenya ni aggresiveness
Utasikia si ukwende
Nipe Thao 2 nikasuke
Ukichelewa anakukaba
Au Mzungu hana taarifa sahihi na Au wewe jamaa huijui Nchi yako Vizuri!Jambo jambo?
Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC.
Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo.
Lakini tusisahau kuwa sisiem wanatuambia kuwa nchi inafunguka na maendeleo tunayoyafanya yanaendana na nchi nyingi Afrika.
Mtaalii huyo ameenda mbali na kusema Kenya ni kama Indonesia kwa kuchapa maendeleo huku Tanzania ni kama Cambodia miaka 30 nyuma.
Ametetea point yake kwa kulinganisha yafuatayo:
- Internet Kenya iko kasi na ni very cheap huku Tanzania internet iko slow licha ya mitandao ya simu kuwa mingi na ni ghali.
- Road network Kenya na Uganda ziko vizuri huku Tanzania hali ikiwa tete mpaka kuna maeneo mjini hayana miundombinu mizuri.
- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.
- Ushirikiano kati ya diaspora na African Americans waliopo nchini Tanzania ni mfinyu sana huku Kenya na Uganda ikitupiga gepu.
- Mengine jazia kwa video.
My Take: Sitaki kufuatilia sana upande wa pili lakini ni dhahiri kuwa nchi hii sisiem wametuchelewesha sana na rasimali zetu zinapigwa minada waziwazi huku tukijinasibu kuwa tuna miaka 60 ya uhuru na hata Jiji la Mwanza mpaka leo halina maji licha ya kuwa jirani na Ziwa.
#Royotuwa
#Anaupigamwingi
#anafunguanchi
#nani kama mama
TULIJIROGA WENYEWE
View attachment 2670315
Kwasasa
Kahama,Tanzania
Au Mzungu hana taarifa sahihi na Au wewe jamaa huijui Nchi yako Vizuri!
Ati network ya Barabara TZ tuko vibaya? NI AIBU NA HUJATEMEA HII NCHI VIZURI!
Yako Mambo Kenya wako Vizuri na wala siyo kwa Sababu ya Kiingereza tu..ni suala zima la ujuzi...wakenya wengi wana Skills zaidi ys Accademics...
Kwa hivo wanaajirika kiurahisi kwa Sababu ya Mfumo wao wa Elimu...but ndicho anachofanya Prof Mkenda sasa!
Ipe TZ miaka 10 kutoka hapa tulipo ndo utajua!!!
Uganda na arabuni mnanyongwa.pamoja na mama yako pia
Kenya ni nusu ya tanzaniaHapo kwenye Road network namuunga mkono kwasababu huwa najiuliza Jiji kubwa la Dar es salaam ambalo ni kitovu cha biashara/ uchumi lakini lakini kuna sehemu kibao hazina lami na maji, mfano ni huku kwetu mbezi ya Mpiji, makabe na msumi.
Kama hii ya Paypal, inawatesa vijana wengi wanaopiga kazi za freelancer.Viongozi wa hii nchi wengi wamesoma Kwa kuunga unga kufail kwingi imagine PayPal haifanyi kazi bongo sababu za maana hakuna , kupata visa ya kutoboka nje tuu milolongo mirefu , mikataba ndo hyo unamwambia mwekezaji akianza kupata faida basi akufikrie na ww
Eldoret Southern Bypass(U/C), Gatuzi la Uasin Gishu.Kenya Internet ni ghali sana, nimeishi huko
Kenya barabara ni finyu sana na mbovu sana, ukitaka nenda Nai, Eld ndo utaelewa