Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

Mimi nichukue tu hili hapa, hayo mengine watayabeba wengine.

Kwa maana ya huyo 'mtalii', Ujerumani, China, Japan, Korea Kusini wasiojua Kiingereza ni hohehai kwa maendeleo!

Kuna watu wajinga sana (mashabiki), sijui kati yao na wewe mleta mada ni mmoja wao!

mama yako
 
Black Americans wanapendwa sana na Waafrika. Tatizo lao wakija huku ni kujimwambafy. Hatusemi wajinyenyekeze, tunahitaji wawe normal tu na watafurahia sana maisha.
 
mi nadhani yeye alitakiwa ajivunie kuona watu wanazungumza kiswahili kwakua ndio lugha ya africa kwa sasa sasa anazunguzia lugha mbona waarabu awajui kingereza na wamepiga hatua kubwa sana hao ndio watalii wa mchongo wa LGBTQ
kwa waliofika Marekani, wanajua kuwa akili za African americans sio sawa na akili za Wazungu. akija mzungu hapo angeongea vitu vya maana. hao ma black americans siku zote huwa wanawaza ngono tu hata maendeleo hawana, na si ukute alinyimwa kitu na dada zetu hawa akachukia nchi nzima.
 
Aje baada ya miaka kumi ijayo ndo atashangaa
Sijui kama umeweka fumbo hapa kwa pande zote mbili?
"Atashangaa" kuona kiasi ambacho Emirate ya Dubai itakavyokuwa imetupeleka mbele na kuifanya Tanzania kuwa kama huko anakotoka huyo mtalii; au atashangaa kwa kuona tulivyoungana na nchi kama Haiti za dunia hii?

Hivi huyo kweli alikuwa ni 'mtalii', au alikuwa na mambo yake mengine?
Alizungumzia nini kuhusu vivutio vya utalii vilivyokuwa ndiyo madhumuni ya safari yake?
Huko pia kaangalia kakuta vivutio vyetu ni hafifu kulinganisha na vya hao wengine?
 
Nashukuru kwamba umenielewa barabara.
Kuhusu "mama yangu", hayupo hapa JF. Usiwe mwoga, njoo tu mimi ninatosha kukukabili mtu kama wewe mwenye akili ndogo sana kichwani.

Nimewatandika wajinga kama ww hapa JF na nje ya JF na kukuonyesha kuwa ww ni maandazi tu nitakutandika halafu ukiwa chini unalialia nitakushika mat@kro yote mawili huku nayabinyabinya
 
Huyo mtalii kaja na 3G yake akituchukulia poa hajui 5G ipo pia aache kejeli za reja reja ,wachina wanaongea English kwa taabu vp nao wapo nyuma kimaendeleo sababu ya lugha, je anajua idadi ya watumiaji internet Tz vs Kenya nani users wapo wengi.

Kigeographia Tz ni kubwa kuliko Kenya sio ajabu inawa Tz bado miundombinu haijakaa sawa mpaka Leo miaka 62 tangu tupate uhuru
 
Nimewatandika wajinga kama ww hapa JF na nje ya JF na kukuonyesha kuwa ww ni maandazi tu nitakutandika halafu ukiwa chini unalialia nitakushika mat@kro yote mawili huku nayabinyabinya
EEeeenHeeeee!

Unawaaibisha sana wahaya kwa akili za aina hii. Nawafahamu sana watu makini wanaotokea sehemu hizo siyo kama wewe. Bila shaka wewe ni pandikizi tu!
 
EEeeenHeeeee!

Unawaaibisha sana wahaya kwa akili za aina hii. Nawafahamu sana watu makini wanaotokea sehemu hizo siyo kama wewe. Bila shaka wewe ni pandikizi tu!

we kariri hvyohvyo.

umezoea wahaya waoga wanaotukanwa na kukaa kimya. siyo mimi dogo.

hovyooo
 
Hapo kwenye Road network namuunga mkono kwasababu huwa najiuliza Jiji kubwa la Dar es salaam ambalo ni kitovu cha biashara/ uchumi lakini lakini kuna sehemu kibao hazina lami na maji, mfano ni huku kwetu mbezi ya Mpiji, makabe na msumi.
ona na huyu nae mpiji ni dar sasa??
 
Jambo jambo?

Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC.

Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo.

Lakini tusisahau kuwa sisiem wanatuambia kuwa nchi inafunguka na maendeleo tunayoyafanya yanaendana na nchi nyingi Afrika.

Mtaalii huyo ameenda mbali na kusema Kenya ni kama Indonesia kwa kuchapa maendeleo huku Tanzania ni kama Cambodia miaka 30 nyuma.

Ametetea point yake kwa kulinganisha yafuatayo:

- Internet Kenya iko kasi na ni very cheap huku Tanzania internet iko slow licha ya mitandao ya simu kuwa mingi na ni ghali.

- Road network Kenya na Uganda ziko vizuri huku Tanzania hali ikiwa tete mpaka kuna maeneo mjini hayana miundombinu mizuri.

- Lugha ya Kiingereza Kenya inazungumzwa kwa ufasaha na kwa wingi tofauti na Tanzania na Kenya wageni hawapati taabu.

- Ushirikiano kati ya diaspora na African Americans waliopo nchini Tanzania ni mfinyu sana huku Kenya na Uganda ikitupiga gepu.

- Mengine jazia kwa video.

My Take: Sitaki kufuatilia sana upande wa pili lakini ni dhahiri kuwa nchi hii sisiem wametuchelewesha sana na rasimali zetu zinapigwa minada waziwazi huku tukijinasibu kuwa tuna miaka 60 ya uhuru na hata Jiji la Mwanza mpaka leo halina maji licha ya kuwa jirani na Ziwa.

#Royotuwa
#Anaupigamwingi
#anafunguanchi
#nani kama mama

TULIJIROGA WENYEWE

View attachment 2670315

Kwasasa
Kahama,Tanzania
Inategemea na mtazamo wake kwake hivyo kulingana na eneo alipofikia kwa hapa tz unaweza kuta alitua kia akafika arusha from nairobi lazima ataona tupo nyuma miaka 30.

ila ukweli bado upo palepale hizi nchi za east Africa hazitofautiani sana.
 
Back
Top Bottom